Uchaguzi 2010: Sauti ya wananchi iheshimiwe!

william upo komredi??
uchaguzi umekwisha ndo unaonekana. kulikoni?

- Mkuu heshima sana, ha! ha! ha! Demokrasia baba ha! ha! leo upo kesho haupo unachagua what to do bila kupangiwa na mtu, ha! ha! nothing but Demokrasia baba! ha! ha

William.

William.
 
Naona ndio unatoka usingizini na hujui nini kinaendelea. Dr Slaa hajakataa kwamba anaweza kushindwa, hapana. Yeye hoja yake ni kwamba basi tarakimu zote ziwe sahihi! na kama ziko sahihi na akashindwa si hiyo ndio demokrasia? ya nini sasa kufanya forgery na kutafuta hata kuwanunua wagombea walioshinda dakika za mwisho?

- Mhhhhhh! Really?

William.
 
- Kwa vile unaongelea kutoka kwenye angle ya kura za urais kupikwa, then mjadala wote unakuwa hauna maana, mimi ninaongelea FACTS zilizotolewa na NEC bila kujali anything maana huu ni uwanja wa Great Thinkers siwezi kusema kura za Rais zimepikwa bila kutoa FACTS.

- Kwenye hoja yako ya msingi ni kwamba Rais ni binadam mwenye mapungufu kama sisi wengine mara kwa mara anahitaji kukumbushwa mapungufu yake, ndio maana kila baada ya miaka mitano kwa mujibu wa katiba ya jamhuri tunawapigia kura viongozi wetu wa taifa na local government, kwa mtizamo wangu wa matokeo ya huu uchaguzi ni kwamba mawaziri wengi wameshindwa, madiwani wa CCM wameshindwa sana, ndio niansema ujumbe hapa ni clear kwa Rais aliyechaguliwa kwa kura nyingi sana kwamba viongozi wake wa chini hawafai anahitaji kurekebisha hilo. Ni mtizamo wangu tu na wewe unaweza kuwa na wako unaotokana na kuamini kura zimepikwa, kitu ambacho mimi siamini hata kidogo.

William.

Siwezi kuzungumzia mapungufu kwa Kikwete, ni uwezo ndio hana.
 
- Makondo heshima yako sana bro, ninasema hivi baada ya huu uchaguzi ni lazima wabunge wapya hasa wa Upinzani walivalie njuga tatizo hili la NEC, viongozi wote wa NEC ya sasa waondolewe haraka sana mara tu uchaguzi ukiisha na serikali itafute mbinu nataaluma mpya za kuikarabati hii tume iwe inafanana na siasa ya vyama vingi maaana sasa hivi imekaa kichama kimoja sana kwa maoni yangu.

William.

You have earned my vote on this occasion.
 
- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito sana wa wananchi kwa Rais aliyechaguliwa, kwamba wananchi wana imani naye sana, lakini wana tatizo kubwa sana na watendaji wake, hasa mawaziri na wakuu wa Mikoa/Wilaya. Ni matumaini yangu kwamba amewasikia wananchi na ataufanyia kazi ujumbe wao mzito sana waliomtumia kupitia kwenye kura zao.

William.

icon1.gif
Re: UCHAGUZI 2010: CCM Vs CCM

Bwana Malecela hauna haja ya kuwa mnafiki au kuwa kama kinyonga. Kama umeamua kuwa wewe basi baki kuwa wewe. Kwenye threadi yako ya awali ''Uchaguzi 2010: CCM Vs CCM'' ulikubali kwa maneno na kwa hiari yako kuwa washindi wa uchaguzi wa mwaka huu ni Chadema na rais aliyechaguliwa na watanzania ni Dr. Slaa. Soma hapa chini. Ukiwa kigeugeu hatukuelewi na utakayoandika hayatakubalika. Nakushauri uendelee kuwa wewe, tetea watanzania, endelea na msimamo wako kuwa Rais aliyechaguliwa na Watanzania ni Dr. Slaa kama ulivyosema awali hapa chini.

quote_icon.png
Originally Posted by Watanzania
Mueleweni huyu Bwana. Anathibitisha kwa maneno machache kuwa washindi wa uchaguzi ni Chadema na rais wa Watanzania ni Dr Slaa. Anathibitisha kama nilivyokwishasema kwenye threadi nyingine kuwa kazi ya Dr. Slaa kama Rais wa Watanzania ni kuponya majeraha ya umoja wetu uliojeruhiwa vibaya sana kwa kampeni zisizofaa za CCM na timu ya JK za kuwagawa Watanzania kwa tamaa mbaya ya kupata madaraka.

- Well, Great Thinkers hawahitaji kukumbushwa nilichokisema maana kinaeleweka, wala sina sababu ya kurudia!

William.
 
icon1.gif
Uchaguzi 2010: Sauti ya wananchi iheshimiwe!

Waslaaam wananchi wote JF,

- Bado tunaendelea kutafakari kilichojiri kwenye huu uchaguzi wa wabunge na Rais, baada ya kuyasikiliza kwa makini sana matokeo:

- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito sana wa wananchi kwa Rais aliyechaguliwa, kwamba wananchi wana imani naye sana, lakini wana tatizo kubwa sana na watendaji wake, hasa mawaziri na wakuu wa Mikoa/Wilaya. Ni matumaini yangu kwamba amewasikia wananchi na ataufanyia kazi ujumbe wao mzito sana waliomtumia kupitia kwenye kura zao.

- Na ni matumaini yangu makubwa sana kwamba CCM kama chama, kimesikia kilio cha wananchi, kwamba wamechoshwa na viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!

Ahsanteni.

William.

icon1.gif
Re: UCHAGUZI 2010: CCM Vs CCM

Bwana Malecela hauna haja ya kuwa mnafiki au kuwa kama kinyonga. Kama umeamua kuwa wewe basi baki kuwa wewe. Kwenye threadi yako ulikubali kwa maneno na kwa hiari yako kuwa washindi wa uchaguzi wa mwaka huu ni Chadema na rais aliyechaguliwa na watanzania ni Dr. Slaa. Soma hapa chini. Ukiwa kigeugeu hatukuelewi na utakayoandika hayatakubalika. Nakushauri uendelee kuwa wewe, tetea watanzania, endelea na msimamo wako kuwa Rais aliyechaguliwa na Watanzania ni Dr. Slaa kama ulivyosema awali hapa chini.

quote_icon.png
Originally Posted by Watanzania
Mueleweni huyu Bwana. Anathibitisha kwa maneno machache kuwa washindi wa uchaguzi ni Chadema na rais wa Watanzania ni Dr Slaa. Anathibitisha kama nilivyokwishasema kwenye threadi nyingine kuwa kazi ya Dr. Slaa kama Rais wa Watanzania ni kuponya majeraha ya umoja wetu uliojeruhiwa vibaya sana kwa kampeni zisizofaa za CCM na timu ya JK za kuwagawa Watanzania kwa tamaa mbaya ya kupata madaraka.

- Well, Great Thinkers hawahitaji kukumbushwa nilichokisema maana kinaeleweka, wala sina sababu ya kurudia!

William.

- Well, maneno niliyoyasema na ambayo sikuyasema, naona hapo yanajisema yenyewe, pole sana kaka lakini ni Demokrasia kuelewa unavyotaka, regardless ya kilichoandikwa!

William.
 
- Sitaki kuamini kwamba wewe ni msemaji wa Dr. Slaa, wananchi wamezungumza wamechagua wabunge na Rais, wasimaizi wa kimataifa wamesema kuna matatizo katika NEC lakini sijaona wakisema kura zimeibiwa au kuna uchakachuaji, na besides my point ni kwamba kwa matokeo yaliyotolewa tayari kwa maoni yangu wananchi wamesema wana imani na Rais, lakini wana tatizo na watendaji wake wa chini, ukitaka niamini toafuti niwekee evidence hapa mkuu kwamba uchaguzi umeibiwa na CCM maana inaelekea unao ushahidi mkuu weka hapa!

- Otherwise ni haki yetu wananchi kutafakari kutokana na facts zilizokwisha tolewa tayari., Tanzania ni yetu sote kwa hiyo ni haki yetu sote kuijadili na kuitafakari!

William.

I have said this over and again, nikiangalia sehemu ambazo Kikwete amefanya vizuri sana nikalinganisha na sehemu alizofanya vibaya naona kuna uhusiano fulani.

Bila kutaja sehemu hizo ila sehemu za mijjini ambazo watu wameelimika na wanauelewa mkubwa hawajampa kura, kadhalika sehemu za vijijini na kwenye uelewa mdogo amepewa kura nyingi.

Kwa hiyo ushindi wake ni function ya uelewa zaidi kuliko kitu kingine.
 
Waslaaam wananchi wote JF,

- Bado tunaendelea kutafakari kilichojiri kwenye huu uchaguzi wa wabunge na Rais, baada ya kuyasikiliza kwa makini sana matokeo:

- Inaonekana kwamba kuna ujumbe mzito sana wa wananchi kwa Rais aliyechaguliwa, kwamba wananchi wana imani naye sana, lakini wana tatizo kubwa sana na watendaji wake, hasa mawaziri na wakuu wa Mikoa/Wilaya. Ni matumaini yangu kwamba amewasikia wananchi na ataufanyia kazi ujumbe wao mzito sana waliomtumia kupitia kwenye kura zao.

- Na ni matumaini yangu makubwa sana kwamba CCM kama chama, kimesikia kilio cha wananchi, kwamba wamechoshwa na viongozi magoi goi katika serikali yao na sasa wanataka mabadiliko!

Ahsanteni.

William.

Ujumbe uliopo ni kuwa watu wamemchoka yeye mwenyewe JK pamoja na chama chake pamoja na vyiongozi wake wote. Hili liko wazi kwani kushuka kutoka 80% hadi 60% ni kushindwa kwelikweli. Kumbuka vilevile kuwa hata hiyo 60% ni baada ya kuchakachuliwa kwa matokeo on his fever maana sampling ya majimbo matatu moja matokeo yake yalikosewa ni magapi matokeo yake yalikosewa kati ya majimbo 220?
pia ukiangalia kura aliyopata 5000k kati ya watu 40,000k ni hatari tupu, hivyo ni ujinga kufikiri rais anakubalika.
 
kwakweli tume hii ya uchaguzi imejionyesha isivyokuwa makini,na isiyoweza kuonyesha haki kutendeka na bora ikavunjwa mapema ili kulinda amani ya nchi yetu.Watanzania wengi niliyokutana nao wanasema wazi kabisa kwamba matokeo yaliyotolewa na tume siyohalisi pia wanasema tume hii kutokana na wananchi kutokuiamini ndiyo maana hawakupiga kura.
 
William kabla hatujaanza kujadili tathmini za uchaguzi zilizotolewa na NEC wewe binafsi bila kujali itikadi yako kichama unatoa tathmini gani? Suala la uchaguzi huu ni dosari za makusudi ili kukipa nguvu chama tawala; kimsingi NEC si chombo huru hii ikumbukwe kilikuwa ni kilio tangu wakati wa mfumo vyama vingi ulipoanza; wapinzani wa kweli wakati ule waliliona lakini wengi waliingia kwenye mtego wa ruzuku ambao unaendelea hadi leo hii; kama wapinzani kweli wanataka kuleta mabadiliko wajitoe kwenye hii mifumo ya ruzuku serikali haipashwi kulea vyama kwa ruzuku jukumu la kulea vyama ni la wanachama wenyewe, dosari ni dosari tu iwe ndogo ama kubwa uchaguzi unatakiwa uwe huru na waki.
 
Hainingii akilini kutoa hoja ya kupendwa kwa Raisi (Rahisi) ambaye 2005 alikuwa na 80+% then 2010 61% ya wanaomkubali, achilia mbali kuchakachua kura za Raia wema wenye sifa zote, then uzungumzie ubovu katika utendaji wa Baraza la Mawaziri 40.Usisingizie maji kwa mtungi mbovu.Ujumbe wa Wenye Nchi umemfikia lakini kwa kuwa hadithi za Mama Kuku kunyonyesha vifaranga wake anahisi ndio mtaji wake, 2015 usalama wa Taifa waliobakiza umri mrefu wa kustaafu watamtosa njemba wa CCM.Amin Amin nakwambia upepo wa kuwakosesha ulaji wana Idara (TIS) kwa upuuzi wao CCM unawakera vijana wa Idara wanaochipukia.
 
William FACTS hizi hapa idadi ya watu ambao hawakupiga kura inatia shaka.
MATOKEO YAANZA KUTANGAZWA KAMA IFUATAVYO:

WALIOJIANDIKISHA: 20,137,303

Waliopiga kura 8,626,283 = 42.84%

Kura zilizoharibika 227,889 = 2.64%

Mgawanyo wa kura ni hivi:

APPT: 96,933 = 1.12%
CCM: 5,276,827 = 61.17%
CHADEMA: 2,271,941 = 26.34%
CUF: 695,667 = 8.06%
NCCR: 26,388 = 0.31%
TLP: 17,482 = 0.20%
UPDP: 13,176 =
0.15%

- Mkuu wangu Bob, heshima sana ni sawa una point nyingi sana na nzito sana, lakini mimi muono wangu unazingatia sana namba ya viongozi wengi wa Upinzani waliposhindia, yaani kwenye local governments. Kwa maana ya kwamba wananchi walikuwa wamechoshwa na viongozi wa serikali za mitaa yao na hasa ma-RCs na DCs ambao overall ndio wasimamizi wa mipango ya maendeleo, as opposed na sera za Rais, ambazo mimi sina uhakika kama zipo zaidi tu ya maneno ya siasa. Ndio maana ninaamini kwamba ilikuwa ni kura against uongozi mbovu zaidi kuliko sera, I mean nini sera ya CCM kwa serikali za mitaa?

William.
Mkuu wangu, labda hatuelewani..tunazungumzia ushindi wa JK na viongozi wengine ktk kupoteza baadhi ya majimbo. Nadhani CCM kama chama kimepata asilimia kubwa ya Madiwani na Wabunge watakao ingia bungeni kuliko asilimia aloipata JK dhidi ya Dr.Slaa na yawezekana kabisa pengine hata JK alishindwa kabisaaa uchaguzi huu kama alivyoshindwa Dr.Shein huko Zenj. Sina hakika sina wala takwimu za kuhakikishia lakini YAWEZEKANA kabisa wananchi wengi waliwachagua wabunge wa CCM lakini hawakumchagua JK kama rais kutokana na kutokuwa na imani naye...

Tunapozungumzia ushindi wa CCM au JK umetokana na nini, hizo sera za CCM ktk serikali za mitaa hazina umuhimu wowote kwani huu sii uchaguzi wa serikali za mitaa bali uchaguzi wa wawakilishi wao na pia hizo sera hazina maana yoyote ikiwa wananchi hao wamekichagua chama CCM dhidi ya Chadema pasipo kutazama sera wala uwezo wa viongozi wao au Kikwete dhidi ya Dr.Slaa nani mbora zaidi ya mwingine. Wamekichagua chama chao kwa sababu hawakutaka CCM upoteze uongozi japokuwa wanaamini JK ana udhaifu mkubwa ktk uongozi na ndio maana kila mwanaCCM unayezungumza naye huzungumzia zaidi uwezo na nguvu ya chama CCM kuliko uwezo wa Kikwete kama rais.

Sasa tunapozungumzia Ushindi wa Chadema ndipo tunapokuja na sera za chama ambazo uwakilishi wa Dr.Slaa ndio ulofunga kazi. Waliomchagua Dr ni kwa sababu sera zake ziliweza kuuzika vizuri zaidi kwa wananchi na hasa vijana ambao kwao ELIMU ndio ilikuwa dose kubwa kuliko kila kitu. Na Dr.Slaa amejizolea kura nyingi toka kwa vijana kwa sababu mkuu wangu ELIMU bado ni silaha kubwa sana ya CCM kuwanyima wananchi ili wasipate ushindani miaka nenda miaka rudi. Unapowanyima vijana wako elimu unazidi kuwadumaza ktk kiza cha kutawaliwa kama walivyofanya wakoloni na CCM imekuwa na agenda hii siku nyingi sana. Na pili, Ufisadi umechukua nafasi ya pili kuwavuta wasomi na wananchi wengine ambao hawakujaaliwa kuzaliwa O'bay, Masaki, na Mikumi au walisoma na baadhi ya viongozi wa serikali. Huu ndio ushindi wa Dr.Slaa na Chadema kwa ujumla wake.

Mkuu, nakuhakikishia kabisa kwamba hakuna mwanaCCM yeyote anayeweza kusema JK kaonyesha ubora wake kama mgombea Urais kuliko Dr.Slaa - hakuna. Kampeni nzima JK amekuwa akilia na kusisitiza hofu yake ili kulinda Uhuru, haki na amani ambayo ilijengwa na chama tofauti na Dr.Slaa ambaye alizungumzia maswala karibu yote, toka Uchumi wetu hadi social services pasipo kuficha jambo kwa hiyo ni vigumu sana kusema ati wananchi wana imani naye sana.

Hata hivyo ndio tumekwisha mchagua rais wetu hivyo kilichobakia ni sisi wana JF kuendelea kumpa ushauri pale tunapoona anakosea kwani hatuwezi kususia nchi tutakwenda wapi!.. Ni muhimu sana kwetu tushirikiane na uongozi uliopo madarakani tuweze hata kudumu kwa miaka hiyo mitano kabla hatujafikia kula kinyesi chetu wenyewe kama nguruwe..Tunajua udhaifu wake, tunajua mapungufu yake na tusichoke kumkosoa pale tunapoona anatupeleka pabaya maadam sote tumo ktk gari bovu linalokwenda nchi za kusadikika!.
 
- Wananchi wote wa Tanzania ninaamini tumelelewa na CCM, however Obama alikuwa hajui kwamba policies zake ni mbovu mpaka alipokumbushwa na kura za wananchi juzi, Rais Dr. Kikwete alikua hajui kwamba ana viongozi wabovu amekumbushwa na kura za wananchi, wapi hapa unapata taabu kunielewa!

- Mengine siwezi kukujibu maana ni too low kwa taifa!

William.

Obama alikuwa na policies zilezile alizoshindia uchaguzi wa 2008. Kila kitu alichokuwa anaahidi kakitekeleza ktk muda mfupi kama Health Care. Uchaguzi wa Marekani ulikuwa zaidi kwenye Checks and balance.
 
I have said this over and again, nikiangalia sehemu ambazo Kikwete amefanya vizuri sana nikalinganisha na sehemu alizofanya vibaya naona kuna uhusiano fulani.

Bila kutaja sehemu hizo ila sehemu za mijjini ambazo watu wameelimika na wanauelewa mkubwa hawajampa kura, kadhalika sehemu za vijijini na kwenye uelewa mdogo amepewa kura nyingi.

Kwa hiyo ushindi wake ni function ya uelewa zaidi kuliko kitu kingine.

Hiyo red siyo facts za kweli. Idadi ya watu wasikoua na elimu mijini ni kubwa kuliko ile ya vijijini.
 
I have said this over and again, nikiangalia sehemu ambazo Kikwete amefanya vizuri sana nikalinganisha na sehemu alizofanya vibaya naona kuna uhusiano fulani.

Bila kutaja sehemu hizo ila sehemu za mijjini ambazo watu wameelimika na wanauelewa mkubwa hawajampa kura, kadhalika sehemu za vijijini na kwenye uelewa mdogo amepewa kura nyingi.

Kwa hiyo ushindi wake ni function ya uelewa zaidi kuliko kitu kingine.

- Well, hapo kama unazo statistics ku-back up hii hoja basi ni valid sana, however how do you explain madiwani wengi wa CCM kushindwa vijijini ambako unasema elimu ya utaifa na siasa ni ndogo?

William.
 
Ujumbe uliopo ni kuwa watu wamemchoka yeye mwenyewe JK pamoja na chama chake pamoja na vyiongozi wake wote. Hili liko wazi kwani kushuka kutoka 80% hadi 60% ni kushindwa kwelikweli. Kumbuka vilevile kuwa hata hiyo 60% ni baada ya kuchakachuliwa kwa matokeo on his fever maana sampling ya majimbo matatu moja matokeo yake yalikosewa ni magapi matokeo yake yalikosewa kati ya majimbo 220?
pia ukiangalia kura aliyopata 5000k kati ya watu 40,000k ni hatari tupu, hivyo ni ujinga kufikiri rais anakubalika.

- Well, huu ni mtizamo wako bro na Demokrasia haina tatizo na mitizamo mbali mbali kutoka kwenye ishu moja!

William.
 
kwakweli tume hii ya uchaguzi imejionyesha isivyokuwa makini,na isiyoweza kuonyesha haki kutendeka na bora ikavunjwa mapema ili kulinda amani ya nchi yetu.Watanzania wengi niliyokutana nao wanasema wazi kabisa kwamba matokeo yaliyotolewa na tume siyohalisi pia wanasema tume hii kutokana na wananchi kutokuiamini ndiyo maana hawakupiga kura.

- Mkuu Jamiiforums tunayo nafasi kubwa sana kwa taifa na kizazi hiki na kijacho kwa kuitafakari NEC kwa nia njema yenye faida kwa taifa, nimesema na ninasema tena kwamba NEC inahitaji ukarabati wa hali ya juu sana ili iweze kuwa sambamba na siasa za Vyama vingi kama tuliyonayo, pamoja na kwenda sambamba na muda tulionao,

- I mean huenda mengi ya makosa ya NEC ni more unknowingly kuliko makusudi, nina imani sana mengi ya mapungufu yao ni nje tu ya uwezo wao hasa technically, kukabiliana na times tulizonazo sasa!

William.
 
Back
Top Bottom