Elections 2010 Uchaguzi 2010 na Uraia wa Tanzania

ishu ni ubunge tu au hata udiwani?..yeye anavidhibitishi gani kujua fulani sio raia au ndio hivyo kusema fulani kashindwa kudhibitisha uraia wake?
Kwa sirikali ya Tanzania ya CCM ya JK, waziri wa mambo ya ndani akitamka wewe si raia, unakuwa si raia. Hakuna mjadala. Hilo ndilo neno la ccm. Na bahati nzuri masha ndio waziri mwenyewe wa kutamka.
 
Angalia mpwa na wewe huyo Law anaweza sema ni Mkenya kisa unatokea karibu na Kenya hapo.

So long sina nia ya kugombea uongozi wa kisiasa.... ntaendelea kuwa raia mwaminifu wa Tanzania kwa vigezo vyote vya Masha.
 
Back
Top Bottom