ule ugali wa kigoma unajua unavyoandaliwa?Ndo wanakulia chooni?Acha uongo bibie dk 25 chakula gani kitalika pale, mambo yote ndani baada ya kununua pale chini. Tena wengine huwa wanatoka na ugali wao wa kuotsha toka kigoma hadi dar. Wakiwa ndani ndo huwa wanaanza kurundumla chakula baada ya kukinunua chini
Weka hapa makabila ya watu unaojua ni wasafi tuone! Nenda asubuhi kwa wala mishikaki pale k/koo uone nyama zilivyoharibika hadi zinaonekana za blue, nenda kwa mama ntilie wa dar cheki na misosi yao yenye kuzingirwa na nzi, tumia usafiri wa daladala dar, angalia wasafiri wanavyobanana, na mijasho na vikwapa vyao, kumbuka miwa inayopandwa dar kando ya mabafu na vyoo, usisahau bustani za mboga za majani na kumwagiliwa maji mchafu ya viwandani, kuna ile mnaita kutapisha vyoo wakati wa mvua, vipi siku hizi k/koo mvua ikiwa kubwa mmepata chujio la kutenganisha maji ya mvua, vinyesi vyenu na maji machafu?? Kile kiwanda cha mbu (namaanisha mosquitoes, siyo memba wa Jf) kinachoitwa muhimbili, kinaendelea na kuzalisha mbu?! Hivi madampo ya dar si huwa yako ktkt ya makazi ya watu?! Halafu nasikia mizoga ya mbwa na paka mnaowagonga barabarani wauza nyama na wachoma mishikaki wanawamixia na nyie kwa 'usafi' wenu mnajinoma tu uongo?! Heeheeheee! Dar iliongoza lini kwa usafi hapa Tanganyika?! Sasa njoo hapa udanganye kuwa wewe kwenu/kwako masaki sijui mikocheni utwambie ni kina nani wanaojisaidia haja ndogo na kubwa baharini! Kidogo nisahau wanyeji/wakazi wenzako wanaokojoa kwenye vyupa vya maji uhai......subiri hapohapo am kaming meeeeen!
wenyewe hawataki uongee ukweli
Tuna afya zetu bwana, kama kuoga ni usafi taulo linachafukaje?