Uchafu: Uwanja wa Ndege wa JNIA na Uongozi wa Eng. Prosper Tesha

[h=1]TAA Management Team[/h]
S/N
Name
Position
1
Eng. S.S. SuleimanActing Director General
2
Mr. L.K.M. MwiguneDirector Human Resources and Administrator
3
Eng. Thomas HauleActing Director Regional Airports
4
Mr. Mosses S. MalakiDirector Julius Nyerere Int. Airpiort
5
Eng. George Sambali
Ag. Director Engineering and Technical Services
6
Mr. Daniel E. C. D. MsuyaChief Internal Auditor
7
Mr. Mtengela HangaHead Procurement Management Unit.
8
Eng. Raphael W. BokangoAdvisor to Director General
9
Mr. Ramadhan A. Maleta
Legal Secretary
10
Mr. Cristom ManyologaChief Fire Officer
11
Eng. Mohamed MillangaChief Compliance Unity
 
Huu uwanja ulikuwa unaitwa DIA au Dar Es Salaam International Airport, hivi ni nani aliubadili jina akauita JKNIA?

Kama yupo hai basi ni mpumbavu na punguani. Alisikia au aliona wapi alichokianzisha Nyerere kikadumu?
Mda mwingine kumjibu mjinga yahitaji busara sana.,ujinga ni nusu ya mauti
 
Mimi wale wanaosimama mlangoni tu kwa gia ya usalama wa taifa! Yaani omba omba hadi kero...utasikia, mpe huyo kijana (mfanyakazi aliyekubebea mizigo) ya vocha arudi nayo. Ukifika nje, wewe si utamwambia kijana wa watu kuwa achana naye ili usimpe kitu? Kijana naye atabembelezaje kuomba umpe manake yule bwana kule mlangoni atamsumbua sana......
 
Wewe ndiye mpumbavu na mjinga. Unamhusishaje Nyerere na kudumu kwa kitu!!! Tumia ubongo kufikiri badala ya mat....ko . Inawezekana una visa binafsi na Nyerere. Au wewe ni fisadi nini!!

Mkuu usiwe na jazba, jamaa kauliza swali zuri - wewe mpe mifano yaku-counter maoni yake kama unayo! Mfano: Viwanda, Mashirika ya umma, Maduka ya ushirika, National Service, Air Tanzania, Vijiji vya ujamaa the list is endless.
 
TAA Management Team

S/NNamePosition
1
Eng. S.S. SuleimanActing Director General
2Mr. L.K.M. MwiguneDirector Human Resources and Administrator
3Eng. Thomas HauleActing Director Regional Airports
4
Mr. Mosses S. MalakiDirector Julius Nyerere Int. Airpiort
5Eng. George SambaliAg. Director Engineering and Technical Services
6Mr. Daniel E. C. D. MsuyaChief Internal Auditor
7Mr. Mtengela HangaHead Procurement Management Unit.
8Eng. Raphael W. BokangoAdvisor to Director General
9Mr. Ramadhan A. Maleta Legal Secretary
10Mr. Cristom ManyologaChief Fire Officer
11Eng. Mohamed MillangaChief Compliance Unity


Mkuu hii imekaa vipi? I mean item No.8 - yaani mtu anakuwa employed kwa post ya kuwa advisor wa Director General!!! hii kali!!
 
Swissport pamoja na majukumu aliyopata, mazingira ya kufanyia biashara yake huduma kama usafi unamhusu.Kampuni itapataje wateja wakati ofisi hizo nyeti ni chafu.escalators hazifanyi kazi ,yeye anafanya maboresho gani?Hii ndiyo inatugharimu kufanya mikataba mibovu na kuliingizia taifa hasara na aibu. Usiishie hapo mwana forum barabara ya Kilwa eneo la Mbagara Rangi Tatu pita uone mkandarasi kajenga Mitaro ya maji ya mvua maji hayaendi,kunanuka na Tanroads amepitisha kuwa kazi imekamilika hivi kweli watu wakionyesha kidole mwasema wapinzani,wataalamu wetu akili imeganda na njaa kali ndiyo inatupelekea hayo.Katikati ya jiji la Dsm mji umejaa msongamano wa magari eti Strabag anajenga barabara ya mwendo kasi,karandua barabara zote mwanzo hadi mwisho bila sababu kwa nini asifanye kazi kwa phases? Pia sehemu nyeti kwa nini asifanye usiku au jumapili na kwanini wakati wa sikukuu za mwaka mpya naye alipumzika akijua kwamba nusu ya wakazi wa dsm wako makwao na shule zimefungwa? huku ndiko kunaleta utata na watu kuwa na hasira na serikali yao.Vitu vingine hutakiwi kwenda shule ni busara na kushauriana bila kuleta mbwembwe.Nilitaka kusahau kidogo kama ukifika Jangwani sekondari nenda hadi Muhimbili majeneza.Kuna mashimo yamejitokeza baada ya mvua kuanza kunyesha kumbe mashimo hayo yalizibwa wakati wa jua kaali kwa kifusi badala ya kokoto na lami hivi kweli tunao wahandisi?Jamani ogopeni mungu atakasirika BYE
 
pia technolojia iliyotumika pale ni ya zamani kwa hiyo vifaa vingi havipo kwenye soko na mpango uliopo ni kubadilisha mfumo mpya hata mfumo wa viyoyozi ni hivo hivo kwa sasa imefungwa mitambo mipya na hali imebadilika na inaendelea kuibadilika.

Kuhusu idara nyingine za usalama wamesema wataitisha kikao. Hata hivyo hatuwezi sema Tesha ni lazy je mnataka awe kama Andendenye wa Polisi Arusha? Pia tukumbuke kuwa wakati TAA inaundwa hali ilikuwa mbaya zaidi na sasa hivi kumebadilika sana, tuwe wa kweli. Suluhisho kubwa ni kujenga terminal three ambayo wanasema wanamalizia design.
Mizigo mingi inayoonekana imeibwa ktk mabegi huibiwa huko inakotoka, umeshafanyika utafiti na kuweka mitego mingi kutumia mfumo wa kamera za matukio lakini imegundulika mizigo kama kamera, laptops na nyingine ni huko huko ndege inakotokea. Haya ni machache niliyoyapata baada ya kufuatilia ukweli wa haya yote. Utendaji mzuri haupimwi kwa kuyafanya kama ya Andendenye

Hili neno; mipangp iliyopo, mikakati inaendelea, mchakato unaendelea nk... yamekaa kiCCM CCM and I hate them... Hatutaki kujua mipango yenu, we know you have hundreds of them lakini haitekelezeki,,, tunataka actions.

Pili, kuhusu hilo suala la usumbufu pale mlangoni, sio leo wala jana malalamiko yameanza... sitegemei kipya kutoka kwenye hicho 'kikao', maana sitegemei kuibuka kwa mawazo mapya hapo... wote ni wale wale...

Tatu, Hiyo terminal three, tangia wamezungushia mabati, leo ndo wanamaliza design?!!!

Nne, ni uwongo mkubwa sana kusema vitu vinaibwa vilikotoka. Kumbuka vitu haviibwi tu wakati wa kutoka, bali wakati wa kuingia. Mi niliwahi (mwaka jana), kuibiwa hard disk, na baadae aliyeinunua akawa ananitumia baadhi ya documents zangu kwenye email... kwa kiswahili, na akasema aliuziwa hapa bongo...

Acha urongo...
 
Mheshimwa Kipara Kikubwa vyoo je, au navyo vimeagizwa?
Huu uwanja wa ndege wa Dar es salaam ni uwanja mchafu kuliko wote kusini mwa jangwa la sahara. Sijui kama kuna meneja wa uwanja huo , Sijali kama wanauita nani.

Utakuta waya za umeme ziko wazi, paa linavuja , ikifika usiku wafanyakazi wanajilalia hovyo kila mahali tokea wafanyakazi wa uhamiaji mpaka wavyagizi. Utakuta wanalala mpaka vyooni
 
Mtoa mada aeleze kinaganaga zaidi bila kueleza sana hisia na mtizamo wake ili wana JF tuweze kuamua. Swali hivi kwa nn TAA walizuia watu kwenda kule juu kucheki ndege kama zamani? ukweli ilikua picnic sana kwa watoto na jamii kuangalia "Take off" na approching
Ilikuwa ni raha na Burudani Home walikuwa wakija wageni kutoka Bush lazima muwapeleke....
 
Mkuu Kipara kikubwa,

Ni vema ulivyoeleza kuwa kwa sasa kuna viwanja vingi vinajengwa Tanzania na ukasema vinagharimu pesa nyingi, ila mimi ningeona busara ingetumika nguvu ikaelekezwa hapo JNIA kwa sababu macho ya wageni wote yako hapo.

Tatizo kubwa Tanzania tunabeba vitu vingi kwa wakati mmoja na hatuvimalizi. Tuwe na vipaumbele.
 
Last edited by a moderator:
uwanja huu ovyo kabisa hata choo zao azifai kabisa azina hata maji ya kufanyia usafi ukiwa umemaliza kushusha gogo eti wameweka matoilet paper tu bila maji apafai kabisa ni pa ovyo sana yan sana
 
This man is in charge of Tanzania Airports Authority (last time I checked their website) and I'm not sure who is related to in the higher echelon lakini he doesnt care about YOU, ME, and VISITORS visiting Tanzania.

Can you believe that Airconditions inside Dar es salaam Intl Airport havent worked for 5 years?

Je mnaamini kuwa escalators za kuteremka wakati ndege imeingia na za kupanda wakati wageni wanaondoka have not worked for over 4 years?

Je mnajua ile conveyor belt ni mbovu na chances za kupoteza mizigo yenu ni kubwa kuliko hata uwanja wa ndege wa Dodoma?

Are you guys aware that toilets at DIA are flooded ni not only ni health risk kwa wateja bali pia kwa staff?

Are you aware kuwa the so called ANTI DRUG/USALAMA WA TAIFA/IMMIGRATION OFFICERS/ASKARI KANZU/ etc wanaokaa pale mlangoni kabla ya kutoka ni big embarrassment kwetu kama taifa? (sina haja ya kueleza what they do kwani kila anayeingia anajua how annoying those clown can be) apart from being smelly

CUSTOMS ambao wanafanya kazi as if they are in the 14th Century. This is un acceptable, huwezi ku go through mabegi ya watu kwa mikono namna ile eti kuangalia zawadi mpya wanazopelekewa watu...

TAA lazima waelewe kuwa priority yao kwetu ni CUSTOMER SERVICE and not otherwise and I urge this lazy CEO to get off his bum and make a trip to NAIROBI aone how those guys are running the airport.

I would rate this airport as the worst International Airport in the world! and please dont give me that ---- eti hawana pesa!

Word of advise to this C*** Aongee na wenzie wa TIC, AIRLINES, CUSTOMS/TRA, IMMIGRATION & SECURITY SERVICES on how well they could serve us without MATESO tunayoyapata na hasa wenzetu ambao ni WALEMAVU

mkuu unategemea nini kutoka kwa serikali ya wauza unga?
 
Sisafiri nje mara nyingi ila mara ya mwisho narajee nilistaajabu kwa harufu mbaya ya choo JNIA. Mtu akifungua tu mlango wote mnatafutana. Hakika niliona aibu sana nikiwaangalia raia wa kigeni kwani sisi watz eti tunajidai tumezoea uchafu. Sio hilo tu uwanja wa ndege majani kila mahali utafikiri mbuga ya wanyama. Mjini ndio usiseme, mifereji ya road drainage ndio tunageuza dampo... wacha tu sijui nisemeje!
 
Nimepitia haya maelezo na kwa kuwa pia ni mdau wa pale kama msafiri nilifuatilia kujua ukweli wa haya yote na niliyapata yafuatayo; Kwanza pale sasa hapaitwi DIA panaitwa JNIA.

Escalators nimeambiwa wameshaagiza zipo bandarini ila si sahihi kuwa ni miaka minne toka ziharibike. pia technolojia iliyotumika pale ni ya zamani kwa hiyo vifaa vingi havipo kwenye soko na mpango uliopo ni kubadilisha mfumo mpya hata mfumo wa viyoyozi ni hivo hivo kwa sasa imefungwa mitambo mipya na hali imebadilika na inaendelea kuibadilika.

Kuhusu idara nyingine za usalama wamesema wataitisha kikao. Hata hivyo hatuwezi sema Tesha ni lazy je mnataka awe kama Andendenye wa Polisi Arusha? Pia tukumbuke kuwa wakati TAA inaundwa hali ilikuwa mbaya zaidi na sasa hivi kumebadilika sana, tuwe wa kweli.

Suluhisho kubwa ni kujenga terminal three ambayo wanasema wanamalizia design. Pia ni chini ya tesha hali viwanja vya mikoa imeboreshwa na kwa sasa viwanja saba vitajengwa kwa kiwango cha lami ambavo ni Kigoma kubeba ndege kubwa na kitakuwa cha kimataifa, Tabora, Shinyanga, Dodoma kitajengwa kipya kikubwa, Songwe kitafunguliwa mwaka huu, Mafia ujenzi umeanza, Mpanda ujenzi umeanza.

Lazima watu mfahamu kuwa ujenzi wa kiwanja cha ndege garama zake ni karibu 1:15 ya barabara yaani kila km 1 ya barabara kwa bil 1unaweza tumia bil 15 kujenga tarmac ya RWY.

Pia wanasema mapungufu yapo hasa bajeti finyu na biashara ya usafiri wa anga yenyewe nchini si imara sana. Pia kiwanja kina idara nyingi wakati mwingine lawama zinatolewa kwa TAA lakini ni idara nyingine hata hivyo hatua zimekuwa zinachukuliwa mara kwa mara kurekebisha hali.

Mizigo mingi inayoonekana imeibwa ktk mabegi huibiwa huko inakotoka, umeshafanyika utafiti na kuweka mitego mingi kutumia mfumo wa kamera za matukio lakini imegundulika mizigo kama kamera, laptops na nyingine ni huko huko ndege inakotokea. Haya ni machache niliyoyapata baada ya kufuatilia ukweli wa haya yote.

Utendaji mzuri haupimwi kwa kuyafanya kama ya Andendenye

nimepitia maelezo yako inaonesha wewe utakuwa mdau. hivi haya mambo ya kusema eti kitu kimeagizwa kipo bandarini tumeanza kuzisikia leo, eti idara ya usalama wataitisha kikao (future continuous) wakati hili swala ni nyeti amabapo lilitakiwa lijadiliwe haraka sanaaa leo unaniambia eti wataitisha kikao ha ha you know the problem is serikali yetu yote ni ya wasanii na pia hapo JNIA kuna watoto wa mjomba na shangazi aka shamba la bibi. pia dont tell me kuwa hii serikali haina pesa kiasi kwamba wakashindwa kujenga hiyo RWY. Tambua kuwa improvement from 0.1 to 0.1001 is nothing sasa unataka jamaa aseme ukweli upi wakati vitu vinaonekana ni zero.mkuu stop putting yourself in a box....... ni hayo tu mkuu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom