Waarabu wanasema QUL WAHED....the buck stops with the idiot Tesha
Kumbe ni wewe, umekuja kivingine ......nilikuwa nakucheki cheki humu longi.
kwi kwi kwi kwi................
couple of things
..................
7. Hiyo ya uwanja wa MAFIA naomba usituongopee kwa sababu pesa zinazojenga kila kiwanja ni za serikali ya USA chini ya mpango wa MILLENIUM CHALLENGE ACCOUNT na ushaidi huu hapa:
Mafia Airport Upgrade
unless una taka kutumis guide kama mnavyowafanyia hao waandishi wa habari from our crappy media
8.Mizigo not only inaibiwa wakati inaingia...siku hizi watu wenu wanwaibia watu mpaka pale kwenye mashine za departure. Binafasi saa yangu ishaibiwa pale kwenye scanner katika mazingira ya kitatanishi
duuhhh............aiseee!!