Uchafu maofisini

Saitaa

New Member
Dec 7, 2010
2
0
Inatia aibu sana kuona kwamba nyingi ya ofisi zetu kwa kweli zina hali ambayo sio ya kustahili kuonrsha sura ya Taifa letu. Dote tunaona tunalalamika tunaacha. Tukumbuke kuwa hapa nazungumzia ofis kwa ujumla wake. Kuanzia ofisi kubwa Me na Ke alafu hat a vyumba tunavyovitumia. Chanamoto nayoitoa hapa ni kujadili (I) visababishi (ii) main za kuondokana na Hali hiyo. Naamini mawazo tutakayoyatoa yatachangia kuwapa mbinu wale wenye wajibu wa kuratibu huduma za usage na hive kutoa mchango wa ku-boresha Hali hiyo. Kazi kwako muungwana ....
 
Back
Top Bottom