Uchafu hauna tabia ya kujisafisha jk

Sabung'ori

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
2,166
1,247
Napata shida sana ya kuielewa falsafa ya hicho chama cha magamba,kinacho ntatiza ni pale wanapo ubainisha uchufu uliokichafua chama chao na kuanza kuuambia huo uchafu ujisafishe.Ebu nijaribu kutoa mfana huu raisi,mathalan mbele ya nyumba unayoishi kuna mtalo unaopitisha maji machafu labda kwa sababu ya takataka mtalo umezima na majitaka yanasambaa hadi mlangon na yanakaribia kuingia ndan kwako,je unaweza kuupa mda huo mtalo ujisafishe?,kama ni ndio kwa nini basi tucyape muda mapipa yote ya takataka yaende yenyewe dampo?.Mzee Mwinyi yeye alitengeneza fagio la chuma,JK amekuja na teknolojia mpya ya kuuambia uchufu "nakupa muda ujisafishe"...ama kweli hii ni dunia ya miujiza!?.TAFAKALI
 
Back
Top Bottom