Habari wakuu,
Ninaomba kufahamu faida za ubuntu dhidi Windows zetu; nasikia iko more secured na vingine vingi, naomba kupata ukweli juu ya hili kutoka kwenu wanazuoni.
Mimi siwezi kueleza kuhusu tofauti za kiutendaji wa kawaida kati ya Ubuntu na Windows. Lakini ninachojua kuhusu Ubuntu ni kwamba ilibuniwa hasa kwa ajili ya 'thin client' internet communication. Thin client ina involve kutumia CPU moja kwa monitor kadhaa, hadi 10. Lengo ni kupunguza gharama. Maelezo zaidi kuhusu thin client - Welcome to the Ndiyo project! | Ndiyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.