Ubuntu ni ya sasa bado?

Bibi Amy

Member
Nov 28, 2009
11
0
Hamjambo Watu Wazuri,

Nilisoma juu ya "ubuntu." Bado ni tumilia mazungumzo ya kila siku au ni oni ya historia tu?
Nafahamu ubuntu kama "mimi ni mtu kwa wengine watu tu, mimi si mtu bila wengine."

Mmarekani W.E.B. Dubois aliandika katika kitabu, "The Souls of Black Folk", labda, maoni vilevile, "katika matendo ya ujamii, sisi wanaweza kuwa mbalimbali kama vidole, lakini kama mkono katika matendo ya maendeleo kwa ujamii (W.E.B. Dubois, 1903).

Unadhani ubuntu (1) bado una mahali katika mazungumo ya sasa (2) ni sawa Dubois maoni ya vidole na mkono?

Asante rafiki,

Bibi Amy
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom