Ubuntu inanitoa roho

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Mwenye experience na ubuntu naomba msaada,nimeinstall op ya ubuntu,tatizo sauti,nikiweka head phone nasikia sauti nikitoa sisikii,imenisumbua kichwa sana naomba mwenye ujuzi na hii kitu anisaidie
 
Kwa mimi ninavyojua ikiwa ivo sio tatizo ya driver koz ingekua ni driver basi hata ungekua ukiweka head phones husikii. Anyway fanya upate model namba na jina la sound card yako na ingia google search ..... Sound driver for ubuntu(.... Nikimanisha weka namba na jina la manufacturer wa sound card yako) utapata driver. Au kama vp weka hiyo namba na manufacturer wa sound card yako hapa, nitakupa link ya moja kwa moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom