Ubunifu usio na kifani, Bajaji double decker inauzwa

Mkora

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
370
55
Baada ya kufanya utafiti wa muda mrefu tunapenda kuwaletea kitu kipwa wateja wetu
Bei ni Milioni sita
Kwa maelezo zaidi ni PM

303102_258202877634740_1978907544_n.jpg
 
Huu si ubunifu bali uuaji. Hivi hata Boeing wangefikiri kinyume na kimaskini kama hawa si abiria wangeishia ajalini? Hapa dawa si kuongeza nafasi za kushonana kwenye mashini yenye uwezo wa watu watatu ukasema ni ubunifu. Ubunifu ingekuwa angalau kuongeza uwezo wa bajaj kiutendaji badala ya kuizidishia mizigo kama ilivyo hapa. Huyu hata hafai kumilki hata punda maana atataka naye awe double decker. Na kama ushenzii huu unafanywa na jamaa wa kihindi mliowaachia kazi ya kufikiri kwa niaba yenu, wanataka wawatoe pesa hata kama mtamalizana wenyewe kwenye utaaahira huu wa kutofikiri vilivyo.
 
Baada ya kufanya utafiti wa muda mrefu tunapenda kuwaletea kitu kipwa wateja wetu
Bei ni Milioni sita
Kwa maelezo zaidi ni PM

303102_258202877634740_1978907544_n.jpg

Utapandaje huko Juu na Kushuka haraka haraka kable Dereva hajaondosha hicho ki-double deck?

Yaani hakuna hata seat belt hapo Juu... Kikishika Break si Unawagika kama WALI?
 
Huu si ubunifu bali uuaji. Hivi hata Boeing wangefikiri kinyume na kimaskini kama hawa si abiria wangeishia ajalini? Hapa dawa si kuongeza nafasi za kushonana kwenye mashini yenye uwezo wa watu watatu ukasema ni ubunifu. Ubunifu ingekuwa angalau kuongeza uwezo wa bajaj kiutendaji badala ya kuizidishia mizigo kama ilivyo hapa. Huyu hata hafai kumilki hata punda maana atataka naye awe double decker. Na kama ushenzii huu unafanywa na jamaa wa kihindi mliowaachia kazi ya kufikiri kwa niaba yenu, wanataka wawatoe pesa hata kama mtamalizana wenyewe kwenye utaaahira huu wa kutofikiri vilivyo.
Exactly. Hii ya single deka inabinuja, jee hii ya double si itakuwa balaa?
 
Tunakushukuru kwa kujaribu lakini ubunifu wako utaleta madhara makubwa ukikubalika, fizikia ni somo muhimu sana kwenye bunifu kama hizi, kasome vizuri kuhusu "centre of gravity" utaelewa kwanini great thinkers wanakataa matokeo ya ubunifu wako.
 
Ama kweli jukwaa la siasa sasa limekuwa dampo. Hii inatafuta nini hapa? Au kwa kuwa ni ya CCM? Samahani lakini.
 
Complete photoshopping! Centre of gravity iko too high,so the kitty is more likely to overturn on
 
Naona mmeamua kupunga idadi ya watz vipi kuhusu speed au nazo ni za mwendo kasi?
 
safi sana...ingekuwa vema sana kama ungetuwekea maelezo yake kamili...... lakini kama umetumia malighafi inayotumika kutengeneza bajaj zilizopo basi wapelekee CCM au YANGA
 
Ikikata kona lazima watu wamwagikie chini au kwenye mzunguko (Round about)..
 
Back
Top Bottom