Ubunifu katika huduma Bongo - Karibu Raha centre

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Wakulu

kwa wenye stress za maisha
wenye kupenda raha
wenye kupenda huduma za vinywaji na wabinti nusu uchi
wenye kupenda romantic story

Karibuni Raha Centre pale mikocheni, kwa maelezo zaidi niPM....

nnn.jpg
 
Bado sijaelewa, wacha wadau wachangie kisha nitarudi. Unajua leo ni w/end hivyo wengi hawachangii wanasubiri mitandao ya dezo ya ofisini kesho.
 
Kwa sababu Bongo haya mambo bado ni mageni tatizo litakuwa mtu akishapiga mtikila tatu si itakuwa mshike mshike.Kuajiri mabouncer nayo ni kupunguza faida tofauti na walivyodhamiria labda iwe members only club
 
Hizo nembo maana yake ukizidiwa mambo fulani ya kiume wanakupa first AID kabla hujafika kwa mkeo kupata tiba kamili
 
kwahiyo anaeenda hapo lazma awe mgonjwa nao wanavaaa hvo kujidai sio wagonjwa tutaaaminije
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom