Ubungo,kawe,hai,moshi mjini na majimbo ya cdm umeme kero

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
Naomba kabla ya kunijibu unisaidie hili kufikili kwa nn majimbo yenye wawakilishi wa cdm yana kero sana ya umeme na matatizo plz let us think for that
 
Naomba kabla ya kunijibu unisaidie hili kufikili kwa nn majimbo yenye wawakilishi wa cdm yana kero sana ya umeme na matatizo plz let us think for that

Kajipange upya dogo ndio uje hapa....hapa huwa haturupoki tu bila ya kufikiri.
 
Naomba kabla ya kunijibu unisaidie hili kufikili kwa nn majimbo yenye wawakilishi wa cdm yana kero sana ya umeme na matatizo plz let us think for that

Kwanza jiulize pia kwanini Chalinze, Igunga, Bariadi, Monduli, Bagamoyo, Kongwa, Kigoma Mjini, Tandahimba, Same, Moshi Vijijini (the list goes on) wana kero sana ya umeme, maji, madawa n.k.?!?!?
 
Mkuu kwanza umeme ni kero kila sehemu si maeneo hayo tu uliyo yataja. Wapi panakua na umeme kwa muda gani hauamuliwi na wabunge bali hao wenye mamlaka ya kukata umeme. Kwa hiyo nadhani umeanza na makosa ya kuissolate hayo maeneo kana kwamba yanakosa umeme kutokana na uzembe wa wabunge wao.

Pili, swala kubwa kama la umeme si la mbunge kutatua. Mbunge anaweza kusaidia kuweka nguzo za umeme kwenye jimbo lakini umeme kuwepo au kuto kuwepo si kazi yake. Hilo ni swala la serikali kutatua.

Kwa hiyo mkuu naomba ukamuulize JK na waziri wake wa nishati Ngeleja ni kwa nini maeneo hayo hayana umeme? Kama watu hao hawana majibu basi hata hao wabunge hawawezi kuwa na majibu kwa sababu wabunge hao hao wa hayo majimbo ndiyo kila siku bungeni wanaikaba koo serikali kuhusiana na tatizo la umeme.
 
Back
Top Bottom