Ubungo 2010: Nani zaidi, Nape au Mnyika?

Kaka/Dada hebu kabla sijatoa mtazamo wangu niambie NAPE amemaliza degree ya kitu na chuo gani?ili tuweze ku evaluate elimu yake na baada ya hapo tumfananishe na Mnyika.
Naomba msaada wako.
 
Katika nchi kama Tz ambayo ni vigumu kutofautisha sera za chama kimoja na kingine,uwezo binafsi ni kigezo cha msingi sana katika kuchagua kiongozi....
 
Kaka/Dada hebu kabla sijatoa mtazamo wangu niambie NAPE amemaliza degree ya kitu na chuo gani?ili tuweze ku evaluate elimu yake na baada ya hapo tumfananishe na Mnyika.
Naomba msaada wako.

Education is not only books is a spirit some one born with!!
 
Education is not only books is a spirit some one born with!!

Post yangu ni result ya post ya Achebe alosema kuwa NAPE ana elimu kuliko Mnyika my intrest ni kupata facts from Achebe juu ya swala nililouliza then tuweze kujadili hilo ndg umekimbia kabla ya kuanza kutembea
 
Skip?

Dogo Tulia acha unafiki...
 
Once everything is set and done, these two guys should debate each other (Mano-a-Mano) ;in order, to put this non sense aside. It is only thru a debate that Ubungo resident will be in position to fully know their candidates. In adddition, the aforementioned Mdahalo will enable Wazalendo to make an informed decision before casting their ballots.
 
Ayubu Rioba has got no theory, hana kitu chochote cha kuwambia Watanzania, ni watu ambao they have got nothing to tell Tanzanians of Today, ni Vijana-wazee na mind set zao zimezeeka. Mtu kama bado ana mawazo kama hayo ujue ana mtindio wa kufikiri, CCM kwa sasa wamefulia na wajue hilo, we are tired of these kila kukicha dubious scandals, na mimi huyu kaka namfahamu kidogo, ni wale watu walio karibu na state--security pamoja na kujifanya kama sio,

ngoja tuone what is gonna happen in 2010
 
You must be genius!
 
Mimi naona Mnyika ni zaidi ya Nape. CCM haina kipya cha kuwaambia wananchi. Imetawala kwa muda mrefu lakini hakuna cha maana cha kujivunia hususani katika suala zima la maendeleo ya nchi, umasikini umekithiri, rushwa, ufisadi etc. We need a change. Hebu tujaribu kwa Mwanyika tuone kama kuna mabadiliko yoyote. Tazama katika baadhi ya majimbo yanayoongozwa na Chadema utaona kuna kitu kizuri kinafanyika kama jimboni kwa Slaa, Ndesamburo, Zito.
 
Wengi wa waliojadili hapa wanaonyesha tu jinsi Watanzania tulivyo wajinga na jinsi tutakavyoendelea kuchagua viongozi wabovu.

Eti kwa nchi maskini kama Tanzania inatosha kuwa bwabwaja wa ufisadi, ni sifa tosha ya kuwa mbunge?

Matatizo ya Tanzania ni makubwa kuliko ufisadi. Kiongozi anatakiwa awe na uwezo zaidi ya kuropoka majukwaani.

Sasa niambieni hawa Nape na Mnyika wamefanya nini katika kuwasaidia vijana wa ubungo kujitegemea kimaisha? Hayo ndiyo majibu yanayotakiwa ili kuwapima hawa waheshimiwa wawili. Vita dhidi ya ufisadi ni kigezo kimoja tu kati vigezo vingi. Tena sio iwe kupiga kelele majukwaani bali yeye mwenyewe mhusika kupinga ufisadi kwa dhati kwa kuangalia matendo yake.

Tusipoangalia tutajikuta bunge la 2010 limejaa waropokaji lakini utendaji zero.
 
Back
Top Bottom