FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 716
Tupe basi kwanini uliona nape ana uwezo mdogo?
Tuwekeeni basi na wasifu wa Mnyika
Nadhani Achebe ametusadia wakati tukisubiri ya Mnyika nimepata miaka na vyuo alivyosoma Nape. Na kwakweli ni kati ya wanasiasa walosoma kwa kukaa darasani na sio online kama za 'ma Dr' flani tunaowajua. Na nimethibitisha na watu wa TUC, wanaohusika na uthibitishaji wa vyeti.
...2002/2003-Kivukoni- Stashahada
...2003/2004-Chuo cha Diplomasia Dar
Stashahada ya Diplomasia
...2005/2008- Bangalore University India
Shahada ( B.A- Psychology)
...2008/2009- Mzumbe Univer.
MPA
Nk.
Sasa tulinganishe na Mnyika ambaye hata degree ya kwanza imemshinda kumaliza,tena bado mtoto wa mama,anakula na kulala kwa mama yake, Nape anamke na anajitegemea!
Lakini hata hoja,hivi kweli tukiacha ushabiki,UBAFIKI WA MNYIKA KWA CHAMA CHAKE MNATAKA KUMLINGANISHA NA NAPE ALIYETHUBUTU KUPINGA UFISADI HADHARANI WA VIGOGO WA CHAMA CHAKE?
TENA AKASIMAMA KIDETE MPAKA IMEKUJA JULIKANA ALICHOKISIMAMIA KILIKUWA KWELI? MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
From that above CV, Nape hana uwezo wa kuongoza jimbo lilo jaa wasomi kama Ubungo... Send the kid somewhere else.
Keenja ametangaza kutogombea?
Keenja ametangaza kutogombea?
Mnyika is often reside in America and seldomly in Tanzania put away his constituency.
I'll never bet on it B'se Nape is handsome to Mnyika meanwhile politics is not only about ability but even appearance.
hatuchagui mtu wala sura hapa,tutaangalia sera za chama zenye menufaa na tija kwa wananchi wa jimbo la ubungo.
Marehemu baba wa taifa aliwahi kusema kama unapenda mtu kwa sura yake au umaarufu wake mchukue uende ukanywe nae kahawa au whisky
si busara kuwaachia wapiga kura kupiga kura,maoni haya hapa yanafaa kuwasaidia wapiga kura kujua hasa wamchague nani.nyie thinkes acheni wapiga kura wapige kwanza....mbona mna kiherehere kama mchuzi wa matembele
Kuna moja hapa kadai alimsikiliza Nape kwenye mdahalo itv akagundua hana uwezo, hii nayo ya ajabu,siku hiyo nlikuwa namtazama Nape na baadhi ya Maprofesa wa chuo kikuu walikiri kuwa kijana ana uwezo na hasa alivyoweza kufafanua yanayoendelea Pemba nk