Ubunge maalum/wakuteuliwa ufutwe

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nimeshindwa kumaliza kuhesabu wako wangapi lakini mimi naona wanamaliza pesa za walipa kodi

wabunge wanaotakiwa kuwepo bungeni wawe watu waliochaguliwa na wanancho na sio watu wanaokwenda mle kwa sababu walemavu au wanawake au wake za watu

sijapioga mahesabu kila mbunge maalum anatucost how much lakini nadhani they are not fit for purpose

je nyinyi mnaonaje?
 
Vikifutwa CUF Chama cha upinzani bungeni maana au itabidi waunde serikali kivuli wakishirikiana na CDM, inshort wabunge wa kuteuliwa wana manufaa kwa CDM kuliko cham chochote cha upinzani kama ulikuwa hujui.
 
Back
Top Bottom