Elections 2010 Ubunge jimbo la Sikonge

naomba breakdown ya kura walipota wagombea wote huko sikonge, na kule njombe kwa Danford mpumilwa

Mimi nahitaji kujua hasa kwa Nkumba, maana jamaa yangu alikuwa anagombea huko mpaka sasa simpati hewani nijue kawa wa ngapi
 
Mbunge anayemaliza muda wake Said Nkumba,jana alitangazwa rasmi kama ndiye mshindi halali wa kura za maoni ndani ya CCM hasa kufuatia kata za Kipili,Kitunda na kiloli kuwasilisha matokeo yake!

Soma hapa kama Gazeti la Mwanahalisi leo lilivyoandika

"Sikonge, Msimamizi Bakari Mfaume alitangaza matokeo yakionesha mbunge aliyekuwa akitetea kiti chake, Said Nkumba ameongoza kwa kura 2,633 akifuatiwa na Mlenzi Kakunda aliyepata kura 2374 huku Rukia Agustino akipata kura 832.

Alisema matokeo hayo yalichelewa kutokana na kata za Kipili, Kitunda na Kiloli kuchelewa kuwasilisha ya kwao"

Ndugu yangu Sikonge,habari ndiyo hiyo,watoto wa mjini wanasema imetoka hiyo la sivyo na nyie fanyeni kama Iringa ambapo juzi CCM ilibadili matokeao na kumvua ushindi Dr Mgimwa na kumtangaza Mzee Kandoro kama ndiye mshindi;wananchi wakatishia kuondoka CCM na wenyewe wakafyata na kumtangaza tena Dr Mgimwa kama ndiye mshindi halali!

Awali mgombea Mlenzi Kakunda alitangazwa ndiye mshindi hata akapongezwa na watu wengi tu,iweje sasa avuliwe ushindi wake?
 
Malafyale,
Naona mwaka huu nibaki kumpigia kampeni Dr. Slaa tu.
Huyu jamaa Nkumba hafai kabisa. Ningelipenda kama ni hivyo basi CHADEMA wamchukue jamaa na wamuingize agombee kwa kutumia CHADEMA maana Nkumba na timu yake ya CCM huko juu, watamuweka jamaa chini. CCM juu mara nyingi wanasikiliza sana timu zao za chini.

Hii ni habari MBAYA sana kwa watu wa SIKONGE. Sijui wataamua nini wananchi ila kwa kufahamu UJINGA wetu sisi Sikonge, basi watakaa na kusema "....... ahhh, tumuachie yote Mungu".
Baba yake Nkumba aliyekuwa mwenyekiti wa CCM wa Mkoa alikuwa akisema waziwazi kuwa "sisi Wanyamwezi hatuhitaji maendeleo. Watuache tu na umasikini wetu....."
Malafyale ntaanza kuchukia News zako maana kila zikitokea, zinaleta USHUNGU moyoni waalahi.
Mbunge anayemaliza muda wake Said Nkumba,jana alitangazwa rasmi kama ndiye mshindi halali wa kura za maoni ndani ya CCM hasa kufuatia kata za Kipili,Kitunda na kiloli kuwasilisha matokeo yake!

Soma hapa kama Gazeti la Mwanahalisi leo lilivyoandika

"Sikonge, Msimamizi Bakari Mfaume alitangaza matokeo yakionesha mbunge aliyekuwa akitetea kiti chake, Said Nkumba ameongoza kwa kura 2,633 akifuatiwa na Mlenzi Kakunda aliyepata kura 2374 huku Rukia Agustino akipata kura 832.

Alisema matokeo hayo yalichelewa kutokana na kata za Kipili, Kitunda na Kiloli kuchelewa kuwasilisha ya kwao"

Ndugu yangu Sikonge,habari ndiyo hiyo,watoto wa mjini wanasema imetoka hiyo la sivyo na nyie fanyeni kama Iringa ambapo juzi CCM ilibadili matokeao na kumvua ushindi Dr Mgimwa na kumtangaza Mzee Kandoro kama ndiye mshindi;wananchi wakatishia kuondoka CCM na wenyewe wakafyata na kumtangaza tena Dr Mgimwa kama ndiye mshindi halali!

Awali mgombea Mlenzi Kakunda alitangazwa ndiye mshindi hata akapongezwa na watu wengi tu,iweje sasa avuliwe ushindi wake?
 
UNHCR hakugombea? Je CHADEMA wanaweza pata mtu gani makini akafanya vitu fyake hapo sikonge? halafu nyinyi wa sikonge na Kyela kwanini msianzishe mkoa wenu na Rungwe?
Maana naona nyinyi mko tofauti na wana tabora wengine? kama ilivyo kuwa Urambo ni karibu na Mpanda.
 
Wee August wee, sisi tukae na Wagomvi?

Watatuletea ka ugonjwa kao ka Mkyela wa Ipinda kuja JF na kumtukana Mkyela wa Ipinda na tena kijiji kimoja.
Hatuwataki kabisa. Heri tuwe Wa Nchi moja maana hatugongani sana. Kyela kama Atoms, ni hatari sana kuwa unagongana nazo kila siku na kwa wingi maana itakuwa kama jinsi jiko la Microwave linavyofanya kazi kwa msuguano wa maji kusuguana.

Nitamwandikia Dr. Slaa wamchukue Kakunda kama CCM watamuacha. Yule Nkumba lazima aondoke.
UNHCR hakugombea? Je CHADEMA wanaweza pata mtu gani makini akafanya vitu fyake hapo sikonge? halafu nyinyi wa sikonge na Kyela kwanini msianzishe mkoa wenu na Rungwe?
Maana naona nyinyi mko tofauti na wana tabora wengine? kama ilivyo kuwa Urambo ni karibu na Mpanda.
 
Uchaguzi wa ndani ya CCM una mambo mengi. Wasomi na ma-bureacrats kama Jaji Mfalila, Balozi Kapya n.k. na falsafa na mikakati yao ya siasa za ki-Nyerere hawawezi kufua dafu kwa wanasiasa wa kisasa wenye kujua kila aina ya rough, wizi, hujuma na udhulumati! Siku hizi sifa si kigezo, kuna factors zingine zaidi ya hizo...niulizeni yaliyonikuta Nzega!

Ndimi DK. Hamisi Kigwangalla wa Mpanda Moto a.k.a 'Shimba Ngosha' [simba dume]
 
I always wonder nikiona watu wanasema
  • Mbunge fulani hajafanya kitu hakuna barabara hajaleta maji shule hospitali n.k
  • Mbunge fulani kaleta zahanati, kaleta maji kaleta shuje

Je ni sawa na haki kutumia vigezo kama hivi kupima wabunge.?
 
Dr Kigwangalla kwanini usiingie chadema/cuf ukagombania ubunge kupitia chama kimojawapo au nccr nk nk kwanini iwe ccm tu, na ccm yenyewe ndio hivyo tena rafu kwa kwenda mbele
 
I always wonder nikiona watu wanasema

  • Mbunge fulani hajafanya kitu hakuna barabara hajaleta maji shule hospitali n.k
  • Mbunge fulani kaleta zahanati, kaleta maji kaleta shuje

Je ni sawa na haki kutumia vigezo kama hivi kupima wabunge.?

Its funny people feel that way. Kazi ya mbunge na bunge ni kuisimamia serikali na sio kuendesha serikali. Sasa ukichunguza hii chain ya logic, utaja jiuliza serikali ina wataalam waliobobea, wabunge nehi, sasa nani wa kumsimamia mwingine? Ukichunguza kwa makini kwa mfumo wa Tz, mbunge hana input yeyote, huo ndio ukweli. Sanasana wanazubaisha watu tu politiking na kuwaondoa kwene mawazo ya kimaendeleo na kujitia ujuaji wa vitu wasivovijua.
 
Mbunge anayemaliza muda wake Said Nkumba,jana alitangazwa rasmi kama ndiye mshindi halali wa kura za maoni ndani ya CCM hasa kufuatia kata za Kipili,Kitunda na kiloli kuwasilisha matokeo yake!

Soma hapa kama Gazeti la Mwanahalisi leo lilivyoandika

"Sikonge, Msimamizi Bakari Mfaume alitangaza matokeo yakionesha mbunge aliyekuwa akitetea kiti chake, Said Nkumba ameongoza kwa kura 2,633 akifuatiwa na Mlenzi Kakunda aliyepata kura 2374 huku Rukia Agustino akipata kura 832.

Alisema matokeo hayo yalichelewa kutokana na kata za Kipili, Kitunda na Kiloli kuchelewa kuwasilisha ya kwao"

Ndugu yangu Sikonge,habari ndiyo hiyo,watoto wa mjini wanasema imetoka hiyo la sivyo na nyie fanyeni kama Iringa ambapo juzi CCM ilibadili matokeao na kumvua ushindi Dr Mgimwa na kumtangaza Mzee Kandoro kama ndiye mshindi;wananchi wakatishia kuondoka CCM na wenyewe wakafyata na kumtangaza tena Dr Mgimwa kama ndiye mshindi halali!

Awali mgombea Mlenzi Kakunda alitangazwa ndiye mshindi hata akapongezwa na watu wengi tu,iweje sasa avuliwe ushindi wake?

Hapo kwenye red sio Rukia ni lupia augustino, Sikonge upo Sikonge ipi huoni hii error
 
Vakukaya!! (wa nyumbani)

Nipo outdated kidogo, hebu nipeni habari nani kashinda kura za maoni kwa tiketi ya CCM kwetu, pia nihabarisheni nani anasimama kwa tiketi ya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom