Ubunge Arumeru Mashariki utakuwa mgumu sana

Nawaza hali itakavokuwa kwa jimbo la Arumeru Mashariki wakati wa uchaguzi baada ya kuondokewa na Mheshimiwa Sumari. CCM watataka wajitahidi kwa nguvu zai zote kuliko ilivokuwa Igunga ili kulinda heshima yao. CDM nao watataka wahakikishe kuwa wanalichukua ili kuimarisaha ukanda wa kaskazini tokea Mbulu, Karatu, Arusha mjini, Hai, Moshi Mjini na Rombo. rangi za kijani na magwanda kazi kwenu.

Tuwe na SUBIRA, watu bado wanaomboleza.
attachment.php

sm3.jpg
 
sasa ni zamu ya chadema kufanya mambo ya uhakika jimbo la arumeru,hili lazima lirudi chadema,kina NASARI huu ndio muda wao wa kushika uongozi sasa,maana wana arumeru walichagua mtu ambaye hajawafanyia jambo lolote lile tangu achaguliwe,ni muda wa wana arumeru kufanya maamuzi sasa
R.I.P sumari
 
Political behaviour kwa wale wana sayansi ya siasa wanajua. Bado hakuna jibu sahihi kuwa akienda this time atashinda ama la. BAVICHA waende kufanya utafiti na uhamasishaji kama walivyo wa pre empty Igunga na matokeo kuwa vile. Apewe nafasi bado kijana na anaweza kuwa amachange zaidi. Ni nafasi ya kuwawezesha vijana sasa. Vijana ni taifa la leo na kesho

umenikumbusha CUF na ule mtaji wa kura Igunga...
 
ARUSHA
WILAYA YA MERU
ARUMERU MASHARIKI
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
SUMARI JEREMIAH SOLOMON
CCM
34,661 62.23
JOSHUA SAMWEL NASARI
CHADEMA
19,123 34.33
JOHN YESAYA PALLANGYO
CUF
265 0.48
LINDA PENIELI BANA
JAHAZI ASILIA
176 0.32
FANUEL GABRIEL PALLANGYO
TLP
88 0.16
CHARLES MOSES MSUYA
UPDP
88 0.16
SPOILT VOTES1,297 2.33
TOTALS 55,698 100

Jamani alieona vizuri matokeo ya CUF aniambie mimi sijaona vizuri hapo!
 
uchaguzi wa arumeru mashariki hautakuwa rahisi kwa sababu....lowassa atataka kulinda heshima .....ili ajiweke kwenye nafasi nzuri ya kuheshimika ndani ya chama mwaka 2015....

Simnajuwa sera ya ccm ya mchawi mpe mwana...........kama igunga ..walimpa nguvu kubwa ya kampeni rostam ,....basi hesabu za arumeru ni kumpa nguvu .... Lowassa kama compromise ya kutovuliwa gamba....

Ccm hawataweza kurudisha lile jimbo bila kumtegemea lowassa ..ambaye kwenye siasa za arusha bado anayo nguvu.....na hata aliyemsaidia sumari mwaka 2010 kushinda akiwa kitandani ni lowassa ...akimsadia mkwe wake..
.
 
Wananchi Wanahamu na Maendeleo Wamepunjwa Kwa Kipindi Chote!! Ni muda muafaka kufikiria replacement Mapema kwani si Kawaida kwa wapenda maendeleo Kupoteza Muda Mwingi!! No supplementary Life!! Kinachowezekana leo Kifanyike leo Hii hii!! Ni wazo Tu!! Kwa wapenda maendeleo!!
 
Kwa Hayo Matokeo Naona Kuna Mtaji!! Ni Fitina ya Udini Kule sio sana!! Sijui watakuja na Gea gani!! Naomba huu uchaguzi Uwe fair Play!! Mambo ya kusema Hajazikwa Hayana Nafasi!!
 
vp CDM hali ya kisiasa jimboni -- kuna matumaini ya kulinyakua jimbo?
 
jamani ngojeni tumalize majonzi halafu ndo tutalijadili hili la ubunge.Tuwe na subra kdogo kuwafarijni ndugu zetu
 
Nawaza hali itakavokuwa kwa jimbo la Arumeru Mashariki wakati wa uchaguzi baada ya kuondokewa na Mheshimiwa Sumari. CCM watataka wajitahidi kwa nguvu zai zote kuliko ilivokuwa Igunga ili kulinda heshima yao. CDM nao watataka wahakikishe kuwa wanalichukua ili kuimarisaha ukanda wa kaskazini tokea Mbulu, Karatu, Arusha mjini, Hai, Moshi Mjini na Rombo. rangi za kijani na magwanda kazi kwenu.
Pesa haishindwi kitu na wahenga walishasema kwenye Dhiki Penyeza Rupia. Wembe wa Igunga tunabadilisha Upande wa Pili -- CCM Oyee...
 
Nawaza hali itakavokuwa kwa jimbo la Arumeru Mashariki wakati wa uchaguzi baada ya kuondokewa na Mheshimiwa Sumari. CCM watataka wajitahidi kwa nguvu zai zote kuliko ilivokuwa Igunga ili kulinda heshima yao. CDM nao watataka wahakikishe kuwa wanalichukua ili kuimarisaha ukanda wa kaskazini tokea Mbulu, Karatu, Arusha mjini, Hai, Moshi Mjini na Rombo. rangi za kijani na magwanda kazi kwenu.

kwa kimbembe kilichotokea Igunga sidhani kama kuna upande unataka uchaguzi si chadema,cuf,ccm wala serikali yenyewe.
maana imewacost sana,natabiri nguvu kupunguzwa
 
tutarajie vurugu na kila aina ya mbinu chafu kutumika na wale wanoijiita chama dola,,,, ila kwa sisi tulioko arusha tunategemea hali ambayo si nzuri sana maana mitaani watu wameshaanza kuzungumzia na kujipanga... sii chadema wala ccm... lakini pia mtakubaliana na mimi kwamba uchaguzi wa jimbo hili la arumeru utazorotesha uchumi wa mkoa wa arusha kwa muda.....
 
Mkuu huyu kijana anaungwa mkono sana.Na CDM wakijidanganya wasipomsimamisha watapigwa mweleka vibaya sana.Nenda Arusha yote ulizia Nassary wanamjua.Mikikimikiki yote ya kisiasa hapa Arusha hakosekani.

SIKU YA mashujaa wa ukombozi pale NMC mwaka jana alishangiliwa na umati ule kama mbunge wa Arumeru Mashariki.
 
Acheni unafiki watanzania, kafa maisha lazima yaendelee, sioni ubaya wowote kuanza kujadili swala la jimbo hili, hizi old and conservative positions zetu kama watanzania ndio zinazotufanya kila siku kuendelea kuwa maskini kwa sababu hatutaki kuwa realistic. Sasa kama Lowasa tayari anafikiria urais 2015 na tunaona sawa na tuko kwenye mtandao wa kuhakikisha hilo linatokea, hili la leo lina tatizo gani? maisha yaendelee huo msiba ni wa familia ambayo pia sitashangaa kwa utaratibu wa sasa wa utawala wa ki sultani kama yawezekana ndani ya familia wameshafikiria hata mtu wa kurithi kiti hiki cha baba yao, sasa kwa nini tunaona ni dhambi kwa watanzania wengine kufikiri? tunataka wabaki na mawazo mgando ili waendelee kuwatawala na kuwaswaga kama ng'ombe
 
nleta mada tupe unayeona anafaa
joshua nasari ndiye mbunge wa arumeru mashariki katika vichwa vya watu wa huku. Kwa wale waliokuwepo kwenye kumbukizi ya tarehe 5 januari mwaka jana watakumbuka jins alivoshangiliwa na wananchi waliofurika kumbukizi ile katika viwanja vya nmc. Watu wanajua alishinda ila kachakachuliwa tu.
 
Jinsi gani sasa? hata Mrema ile 95 alishangiliwa kwa jinsi ya ajabu hata yeye akajua anachukua uraisi. Matokea yakawa aibu kwake. Ishu hapa ni kujipanga tu, Mnyika alikuwa kwenye jimbo gumu lililohitaji mikakati hasa ya ushindi and with his team he made it. Kuna mwingine kasema eti Nasary is STILL YOUNG, yaani hata sihitaji kuizungumzia HOJA HII MFU. Vijana wangapi wanafanya wonders huko bungeni! au tuna macho ya kuona lakini tunajifanya hatuoni! Wananchi watampima kwa maneno na uwezo wake ktk kutekeleza yale ayasemayo full stop
 
Subira njema huenda na baraka zake,tukumbuke kuwa hapa duniani tupo safarini na kila mtu ataipitia,hebu fikiria siku unakufa na kama ni mwanaume na kabla hujazikwa watu wanaanza kujadili namna ya kumchukua mkeo,utafurahi???????????

Tuwe na huruma kwa wenzetu.
 
Back
Top Bottom