Ubunge Arumeru Mashariki utakuwa mgumu sana

Tofauti ya kura ni 15, 438. Mimi nakubali kuwa ccm watakuwa walichakachua lkn hyo haitoshi coz hawajachakachua jimboni kwake tu, tazama watu km wenje, kiwia, nyerere, mnyika,mdee pamoja na hila za ccm ila walishinda. pia hata ukitizama watu ambao hawakushinda ktk majimbo yao na wagombea wa ccm walikuwepo ila walitoa ushindani mkubwa na walizidiwa kidogo mfano mchange wa kibaha, marehemu regia, shelembi wa shy, khalfan wa kigoma, mpendazoe na wengine wengi tu.

Tatizo langu kwa kijana wetu huyu ni kwamba kwanza hakuwa na mpinzani ila akapata kura chache sana je km angekuwa na mpinzani ungetegemea apate ngapi? hapa wanachadema tunatakiwa kufanya analysis vzr kwa manufaa ya chama na sio kufurahishina binafsi

Mnafiki kweli chakula ya mamba.Angalia unavyojichanganya.Mara alikuwa hana mpinzani.Shame on you.Kampeni iliyokuwa inafanywa jimbo hili na ccm ilikuwa kubwa na iluongozwa na Edward Lowassa aliyekuwa anampigania mkwe wa mtoto wake.Kipindi hicho huyu kijana ndio alikuwa ametoka tu chuo kikuu hata hela ya kampeni ilikuwa inachangwa kwenye mikutano ya hadhara.Tuache unafiki jamani
 
Mkuu inaonekana una chuki kubwa na kijana Nassary.Ama unataka kumchafua ili ugombee wewe.Ama umetumwa na mafisadi.

usilete majungu kaka, niambie ni wapi niliposema uongo ambapo nipo namchafua? tusiwe watumwa wa mawazo eti ukimwa ukweli basi mtu katumwa
 
Ingawa huyu dogo simjui vema lakini ni vigumu kumsuta sasa hivi. Hawa wau wa ccm ni wezi na wabababe inawezekana kabisa waliiba kura kama wlivyofanya kwenye majimbo mengine. Pia hiyu Sumari alitumia saana msuri wa fedha kuraghai na kuhonga wapiga kurana kumbuka kipindi hicho alikuwa waziri mdg wa fedha. Tusimkatishe tamaa wacha apambane nina imani this time atashinda

Mb wa CCM(Marehemu) ni kweli hakufanya kampeni, lakini nyuma yake alikuwepo mzazi mwenzie Lowasa ndio alifanikisha wizi wa kula, maana yeye wakati matokeo yanatangazwa yeye alikuwa anahaha hapo mjini
 
Sidhani kama ni jambo la busara kuanza kushadadia kuhusu "mrithi" wa jimbo ilhali bado marehemu hajazikwa!...just be a little bit wise bana!
 
Yatakuwa kama yale ya Igunga kwa CUF,mtaji wa kura 11elfu badala yake wakaambulia kura elfu 2!kuweni makini cdm!Napendekeza Dr W.P.Slaa akagombee!lazima atakomba zaidi ya 80+% za kura.

Hadhi ya Slaa sio ya ubunge acha kumdhalilisha
 
Yatakuwa kama yale ya Igunga kwa CUF,mtaji wa kura 11elfu badala yake wakaambulia kura elfu 2!kuweni makini cdm!Napendekeza Dr W.P.Slaa akagombee!lazima atakomba zaidi ya 80+% za kura.

Hili wazo ni zuri sana na nilikuwa sijaliwaza, kwani arumeru mashariki hadi karatu vimepishana kwa umbali gani? tena itatusaidia sana 2015 wakati anagombea urais.hata mrema 1996 alirudi bungeni kupitia jimbo la temeke
 
usilete majungu kaka, niambie ni wapi niliposema uongo ambapo nipo namchafua? tusiwe watumwa wa mawazo eti ukimwa ukweli basi mtu katumwa

Toa majungu yako hapa.Hata Marehemu hajazikwa unaanza kuleta upuuzi wa kujadili warithi
 
Kwa taarifa nilizo nazo Kijana Joshua alishinda tena kwa mbaali akafatiwa na Marehemu ila kama mjuavyo walichakachua kubwa ni watu kutokulinda kura zao baada ya kupiga,mimi nashauri dogo apewe mikoba ila makamanda wakatoe shule mapema najua kura za Arumeru mashariki hazitawezekana hata kuzichakachua safari hii hata CCM wanajua napata wasiwasi na aliye post thread hii kama ni Gamba coz CCM wanajua ukweli na dogo wanaujua moto wake!
 
Hili wazo ni zuri sana na nilikuwa sijaliwaza, kwani arumeru mashariki hadi karatu vimepishana kwa umbali gani? tena itatusaidia sana 2015 wakati anagombea urais.hata mrema 1996 alirudi bungeni kupitia jimbo la temeke

Unataka wamfanyie hujuma akose ubunge ili ccm wamdhalilishe nchi nzima.Chadema wako makini hawako type ya kina Mrema na vibaraka wake
 
Piga ua chadema watalichukua hilo jimbo watu wa ARUSHA ni wabishi na ndiyo wanaotakiwa kwa ss ccm tumeichoka jamani
 
Ndugu wana jf
Joshua Nasary ndie aliyepeperusha bendera ya chama chetu mwa 2010 kwa nafasi ya ubunge ktk jimbo hilo na mwishoni hakufanikiwa kushinda.
Marehemu Jeremia sumari alikuwa mgonjwa kipindi chote cha kampeni na hakuhutubia mkutano hata mmoja bali wana-ccm wenzake ndio waliompigia kampeni na kuibuka mshindi.
Mimi binafsi nina mashaka na uwezo wa huyo kijana wetu juu ya kuweza kulichukua jimbo hili wakati wa uchaguzi mdogo, Km ktk kipindi cha kampeni alikuwa peke yake ila ameshndwa, je atawezaje kushinda ktk kipindi ambacho ccm nao watakuwa na mgombea ambae atajipigia kampeni?
Chadema km chama kinatakiwa kusimamisha mgombea ambae tuna asilimia nyingi za kushinda na sio kuridhishana eti kwa kuwa yy aligombea 2010 basi na sasa awe huyo huyo.
Mshawishini Anael Nkya agombee kwa ticket ya CHADEMA kama ni mwanachama wa CDM, huyo anaweza kulibeba jimbo hilo!!!!!!!!!!

Kwa taarifa nilizo nazo Kijana Joshua alishinda tena kwa mbaali akafatiwa na Marehemu ila kama mjuavyo walichakachua kubwa ni watu kutokulinda kura zao baada ya kupiga,mimi nashauri dogo apewe mikoba ila makamanda wakatoe shule mapema najua kura za Arumeru mashariki hazitawezekana hata kuzichakachua safari hii hata CCM wanajua napata wasiwasi na aliye post thread hii kama ni Gamba coz CCM wanajua ukweli na dogo wanaujua moto wake!

Waeleze mkuu.
 
Cdm wako makini so najua watatoka na kitu cha uhakika kufuatana na taratibu za chama chao!
 
Nina mashaka na huo utambulisho wako kama mwanaCHADEMA; wewe utakuwa mfuasi wa shetani CCM, uliyetumwa kuyumbisha ushindi usio na shaka atakaotuletea jembe Nassary.

Unajua yalivyokuwa mazingira ya uchaguzi wenyewe?
Kaa ukijua CCM haikushinda, na hiyo Jumatatu itazikwa rasmi kwenye hilo jimbo sambamba na huyo Sumari!
 
Mimi binafsi namkubali huyu kijana, kwakuwa Arumeru kulikuwa hakuna mtu anajua habari za Chadema, lakini yeye alipambana na kuhakikisha kuwa Chadema inajulikana na matawi amefungua ya kutosha, na kwa tathmini zangu nilizozifanya watu wa Arumeru wanampenda sana huyu kijana japo mwaka juzi wakati wa uchaguzi mkuu walikuwa either hawajamsoma vizuri au waliona kuwa ni mdogo wakaamua kumpa Mhe Marehemu mzee Sumari.

Lakini chama kama chama tunakubaliana na yeye kuwa ni mtu makini na mpenda maendeleo na mabadiliko vile vile. Napenda kutoa salaam zangu za pole kwa Familia ya Mzee Sumari ni baba tuliyempenda sana ila Mwenyezi Mungu ndio kampenda zaidi. RIP.....
Kamanda mapambano yameanza.
 
Back
Top Bottom