Ubora wa CHADEMA na unafiki wa CCM

Unanikumbusha kaya moja iliyokuwa na njaa, mama wa watoto saba aliichika chungu jikoni akiwa ameweka mawe na kufunika, watoto walisubiri chakula kiive mwishowe usingizi uliwashika wakalala. Mama aliipua mawe yake na kuwalaza watoto siku ikapita. Ndivyo wajinga kama wewe mnavyofanyiwa na CCM na bado mnaipokengeza na kuitetea kwa nguvu kama mazuzu!

Aha ha ha ha ha haaaaaaaaaa!!!!!!!!!!
Nimeipenda hii.
 
Magwanda ya khaki si ndio wanapita kudanganya watu na kurukia hoja za watu, umesahau? Mwakyembe kawashushua utam kweli kuhusu CAG.

We nae kumbe ni wale wale......hivi kwani kuna waziri aliyeongea chochote cha maana?.....utanisamehe manake mie nimesikia mipasho tu!
 
We nae kumbe ni wale wale......hivi kwani kuna waziri aliyeongea chochote cha maana?.....utanisamehe manake mie nimesikia mipasho tu!

Ile ilkuwa sio mipasho, zile nondo mama, mipasho bado siku yake.

Siku ya mipasho pale tunamsimamisha Khadija Kopa akishuka anapanda Kaptein Komba. Patakuwa hapatoshi.

Wale walikuja kuwapa nondo msiwe mnadanganya danganya watu.
 
Ewe mwenyezi Mungu nakuomba utujaze wana CHADEMA wote hekima,busara,uvumilivu na ujasiri pia tuongezee nguvu za ziada twende tuka liokoe taifa letu sababu Watanzania wengi wamejawa na upofu wa fikira,ziki zinanazo wafanya CCM iwazalilishe kama walivo zalilishwa leo.mwenyezi Mungu nakuomba uwazindie wote wenye akili mgando tupate kilikomboa taifa ili kiraisi,bila wewe atuwezi fika popote Mungu wangu,tusaidie Watanzania tume zulumiwa kwa muda mrefu sana.nina amini utajibu maombi yangu siku zakaribu ili awa wanae tuzulumu wapate umbuka.
 
Ile ilkuwa sio mipasho, zile nondo mama, mipasho bado siku yake.

Siku ya mipasho pale tunamsimamisha Khadija Kopa akishuka anapanda Kaptein Komba. Patakuwa hapatoshi.

Wale walikuja kuwapa nondo msiwe mnadanganya danganya watu.

Duuuh haya zomba kama umeona nondo leo hongera sana!.....wanaodanganywa ni nyie mnaobebwa kwenye mabasi afu mnasahau shida zenu na kwenda kuwashangilia wenzenu waendelee kulia kivulini....mna kazi sana!
 
Last edited by a moderator:
Kwa uongo huu hata shetani atamkana Nepi kuwa hajamfundisha hivyo....yalaaniwe magamba yote yaliyokuwepo Cdm square!!!Shenzi taipu!!!

Roho zinawauma sana na mmekatishwa tamaa vibaya sana.
 
Roho zinawauma sana na mmekatishwa tamaa vibaya sana.
Roho zinawauma nyinyiemu kwa kuandaa kadi feki na siku zote uongo unajitenga panapo ukweli nakuuliza ww gamba zomba zile kadi mliziprint wapi?Lazima urudishe pesa ya Nepi lengo halijafanikiwa....
 
Ile ilkuwa sio mipasho, zile nondo mama, mipasho bado siku yake.

Siku ya mipasho pale tunamsimamisha Khadija Kopa akishuka anapanda Kaptein Komba. Patakuwa hapatoshi.

Wale walikuja kuwapa nondo msiwe mnadanganya danganya watu.
Hili jamaa kumbe lilevi hata wassira ana afadhali maskini...kulikuwa na nondo gani pale zaidi ya mipasho iliyokuwepo?kwa nini mlimaliza kabla ya muda?Mmekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Tumechoka kudanganywa,kuibiwa.tumemlili Mungu na ameweza kutusikia kilio chetu na sasa anatujibu.Pamoja na pesa zao tena walizotuibia,pamoja na kupeleka TV yao,pamoja na kuwasomba maskini tena wasiokua jeuri.Bado Mungu amezidi kuwaumbua.Pesa walizo wekeza na malengo yaliyoyakusudia wamefeli.
  • Walitegemea watu wangejaa kwa pesa
  • Walitegemea wapoteze jina la Chadema square
  • Walitegemea watanzania tunadanganyika
matokeo yamekua aibu yao
 
Kilichopo kwa sasa ni mabadiliko dhidi ya Conservatism. kwa hiyo tungesema ubora wa watetezi wa mabadiliko na unafiki wa wasiopende mabadiliko. hapo tunaweza kujua nani anapenda mabadiliko, kwa nini na kwa faida ya nani. na ni kwa nini wengine hawapendi mabadiliko; je ni wanufaika na mfumo uliopo, ni wanafiki au ni waoga?
 
Back
Top Bottom