Ubomu wa fedha zetu na janga la kiuchumi nani alaumiwe ???

mbasamwoga

Member
Jul 6, 2011
70
12
Fedha zetu yaani sarafu na noti sio imara hata kidogo, sarafu zetu ikidondoka arhini baada ya wiki haitamaniki tena kutokana na kushika kutu,noti zetu mpya ndio kabisaa inaghushika kama njugu mitaani na inachakaa kwa haraka zaidi. Je hasara hizi za fedha kuoza na kuchanika ovyo ovyo mbona mamlaka husika zimekaa kimia? Sarafu za mkoloni yenye miaka hamsini hata leo ukiichimbua ni myaaaa?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom