Uboho ni neno la kiswahili sahihi au ni tusi?

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Naomba kufahamu kama hili ni neno sahihi na sanifu lakiswahili ama ni tusi na lina athari gani kutamkwa?Watu wengi wamekuwa wakisema hili neno si zuri kulitamka mbele za watu.

Nawakilisha.
 
Uboho ni neno la Kiswahili na si tusi.

Hata nyoko ni neno la Kiswahili na si tusi.
 
"uboho" si tusi,hili neno maana yake kwa kiingereza ni "bone marrow",zile chembe za damu zinazokaa ndani ya mfupa wa binadam au mnyama yeyote.
 
"uboho" si tusi,hili neno maana yake kwa kiingereza ni "bone marrow",zile chembe za damu zinazokaa ndani ya mfupa wa binadam au mnyama yeyote.

is the flexible tissue found in the interior of bones. In humans, bone marrow in large bones produces new blood cells.
 
Si tusi, ila linaweza kutumika vibaya au kueleweka vibaya na watumiaji. Kama yanvyo tumika baadhi ya maneno mengi hapa ukumbini.
 
Duhu, nilipoliona hilo neno mara ya kwanza nilipata mshtuko. Kiukweli hili neno linatisha na ni vigumu kulitamka bila kufikiria mambo mengine!
 
Makabila yasiyotumia 'h' kwa hili neno mh, astaghafiru.
Tutafute maneno mengine tuyajadili hili limeeleweka
 
neno lolote laweza kuwa tusi depend on how u say it.
yap, inanikumbusha kanga flani zilizotolewa mwanzoni wa miaka ya 70's na maneno yafuatayo "Hapa ndipo palipozaliwa TANU" pamoja na picha ya jengo ambapo TANU ilianzishwa. Sasa wakinamama wakivaa hiyo kanga maneno yalikuwa yanajizungusha kwenye kishtobe. Gumzo lililozagaa mjini lilifanya zile kanga kusitishwa manaake maneno yale yaligeuzwa kuwa ya kihuni ingawa hayakuwa na maana ile!
 
Hahaha. Aisee. Nishawasikia haona wakina m.b.o.r.o. Dah!

Oyaaaaaaaaa acheni kutania koo za watu humu! Mboro ni ukoo wa jamii fulani huku uchagani. Maana yake ni risasi. So sio tusi. Uboho =bone marrow as have been said here. Labda tungsema uboo tungenyumbulisha hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom