Ubia Gest House Riverside Ubungo Dar

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Nafasi inatolewa kuingia ubia na Mtu yeyote kukarabati Nyumba ya vyumba 13 ili ifanye biashara ya Gest House. Nyumba ipo karibu kabisa na Baa ya Riverside, Chonya, na Kinyaia kwenye barabara ya Mandela karibu na kituo cha mabasi cha Riva. Ukitaka kufanya ubia huu tafadhali nitumie Private Message (PM) mimi Pilau hapa JF. Asante.
 
Back
Top Bottom