Ubebaji wa maiti Tanzania

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
ajali+Kibamba+190.JPG


Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikiona maiti za watu waliopata ajali au kupata madhara mbalimbali kubebwa kwenye gari za wazi kama hizo za polisi au pick ups. Kwa mawazo yangu nadhani ingekuwa jambo la heshima kwa marehemu kubebwa katika magari yaliyofunikwa, na sio wazi kama hivyo inavyoonekana hapo juu. Vilevile kuna vitu vingine inakuwa sio vizuri kwa baadhu ya watu katika jamii kuviona kwa mfano watoto wadogo na watu ambao mioyo yao ni myepesi. Katika kuona maiti zinapelekwa hivyo hadharani kunaweza kuleta madhara kwao.
 
Kwa ujumla hatuna mfumo mzuri wa kushughulika na majanga/ajali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom