ubc sasa free! na Atn kuongezwa!

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
kwa wake watumiaji wa startime naona wameamua kuiweka ubc free maana hata kale ka symbol$ wamekaondoa,pia nimejaribu kuondoa hata kadi bado inafanya kazi.pia wametangaza kuongeza channel ya atn kwa burudani zaidi.
 
Atn nayo ni chanel ya burudani?
 
Mbona kwangu ilipokua ubc ndo imeingia atn alafu ubc siioni kwenye list mkuu?
 
Back
Top Bottom