Ubalozi wa Kenya wahitaji maelezo

Inteligensia ya IGP Mwema inasema waliopigwa Risasi ilikuwa ni Bahati mbaya kwani Polisi walipiga Risasi juu Vertically,sasa zilipokuwa zinashuka kwa Gravitational Force ndipo ziliwadondokea na kuwaua.
Hii ni Intelligensia ya IGP Mwema ambayo haikubaliki kisayansi
 
Man! MWM hahaha umenichekesha while bado nina hasira na hawa jamaa
 
Back
Top Bottom