Ubahili wa wachaga noma! Fungua hapa.

hamic mussa

JF-Expert Member
May 1, 2012
227
19
watu watatu walikuwa wamekaa wakijadili jinsi ya kuwasaidia masikini. Maongezi yalikuwa hivi:
MPARE:Mimi nitachora duara kisha ntarusha hela juu.zitazoingia ndani ya duara nitawapa masikini zitazotoka nje ntabaki nazo mwenyewe.
MSAMBAA:Aisee mgosi,mimi nitachora mstari kisha ntarusha hela juu.zitazokuwa nje ya mstari ntawapa mackini zitazokuwa ndani ya mstari ntabaki nazo.
MCHAGA:Mimi ntarusha hela juu.zitazobaki juu ntawapa masikini zitazoshuka chini zote ntabaki nazo mwenyewe.
DUH! KWELI WACHAGA NOMA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom