Ubahili kwenye ndoa

Jamani kuna wanaume wengine wanakera sana, kuna dada mmoja tuko nae ofisini ana kazi sio tu ya kutunza familia, bali na kumtunza mumewe! lazima aampe pesa ya baa, hili jibaba linafuatilia kila senti ya huyu dada, akigundua amenunua kitu asichoafiki kama vile nguo au perfume, inakuwa kesi kubwa. Pamoja na mshahara na marupurupu aliyonayo huyu dada ukimuona utadhani hiuse girl, amechakaa na kuzeeka maana hana raha kwenye ndoa, na zaidi ni mzigo wa kumhudumia huyu mume asiyetaka kujishughulisha na majukumu ya familia ingawa na yeye ana kazi.

Jamani akina dada ndoa ni kama koti, ukiona joto limezidi vua! unatakiwa kuwa happy sio mradi ndoa hata kama unateseka - ukiwa na hamu ya ile kitu si una import tu mbona wapo wengi hata humu JF?

Tena wenye kutoa oda wani PM niwatumie maana hii ndo biziness yangu. Aachaneni wenzangu kujisumbua na mijitu kama hiyo mibahili bahili, kula kitu loho inataka. Mf:- mtu ulishajizalia na umemaliza ya nini kujitesa while life is too short! eeeh, jamani.
 
Back
Top Bottom