ubaguzi live kagame cup

MI6

Senior Member
Jul 19, 2012
175
20
Baada ya mpira wa Simba vs Azam kwisha na wachezaji kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Inaonekana picha ya Mwinyi kazimoto anamuomba maji mzungu mmoja wa Azam afu jamaa kamnyima LIVE.
Kama kuna mdau anapicha live embu aiweke jamani hii ni hatari kubwa ya ubaguzi.
 
timu imeanza toka hatujapata uhuru hadi leo 2012 wachezaji wanaomba maji!!!!!
 
Sasa ubaguzi unatoka wapi? Si wakanunue yao?! Ukiniambia ubahili nitakubali lakini ubaguzi?! Au mkuu hujui maana ya hilo neno?
 
tatizo ni Kaseja kujiita ALFA NA OMEGA.Timu yoyote itakayo mchezesha lazima kushindwa kwasababu ya laana ya kujipa sifa ya MUNGU
 
Naanza kuona bundi aliyekuwa Yanga anaanza polepole kuelekea Msimbazi..soon tutasikia Simba wanaanza kufukuzana..Yondani alikuwa mjanja kuwakimbia kabla hawajafikia hapo..
 
Hivi uwepo wa simba ni nani ananufaika? Maana kipato chote cha miaka hiyo hadi sasa hata maji kwa wachezaji inakuwa issue kuwanunulia? Ona sasa wanaishia kuwa omba omba kama serikali ya Tanzania ikiwa chini ya presidaa dhaifu
 
Si kweli!,Yule mzungu wa Azam alikua na maji ya aina mbili,alikuwa na maji ya kawaida ya Azam na Energy drink ambayo ilikua maalum kwa wachezaji wa Azam tu,Baada ya Mechi kuisha Kazimoto aliomba maji na akapewa ya kawaida ila yeye aliyakataa na kutaka apewe yale waliyokuwa wanakunywa wachezaji wa Azam,Yule Mzungu wa Azam alimnyima,Kuona kanyimwa ile energy drink Kazimoto aka-mind kiasi flani then akaondoka!,Hii nimeiona mwenyewe kupitia Supersport,Jipange mzee!,
 
Mzee Rage enh?.....yah ni kweli aisee ajipange kwa hadhi ya team yake hata kama alikuwa anaomba energy drink ni shame....jipange Rage
 
Baada ya mpira wa Simba vs Azam kwisha na wachezaji kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Inaonekana picha ya Mwinyi kazimoto anamuomba maji mzungu mmoja wa Azam afu jamaa kamnyima LIVE.
Kama kuna mdau anapicha live embu aiweke jamani hii ni hatari kubwa ya ubaguzi.

ww hujawaelewa azam walichokuwa wanakitoa pale ni chupa za juice na kabla ya kazimoto kulikuwa kuna wachezaji kama 4 wa simba walikwisha pewa nilifanikiwa kum'note Boban tu
-NILICHOGUNDUA: ni kwamba zile juice zilikuwa targeted kwa namba ya wachezaji sasa kule kuendeleza kuwapa wachezaji wa simba badala ya AZAM ni nje ya majukumu yake. **nina ushahidi na nikinenacho hilo tukio lilirudiwa vyema na supersport**
 
Kila timu na utaratibu wao wala siyo suala la ubaguzi. Na hii ndo inayotakiwa kuwa kila mtu ajifunze kujitegemea siyo kuwa ombaomba tu kama kama serikali fulani hapa Africa!!!!
 
khaa aibu kweli simba wanaomba maji duh ndo maana wanapakatwa tu

hahahaha ulikuwa unamaanisha hii hapa mkuu ?
527028_154567591347319_215219116_n.jpg
 
Baada ya mpira wa Simba vs Azam kwisha na wachezaji kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Inaonekana picha ya Mwinyi kazimoto anamuomba maji mzungu mmoja wa Azam afu jamaa kamnyima LIVE.
Kama kuna mdau anapicha live embu aiweke jamani hii ni hatari kubwa ya ubaguzi.

Saa 12 jioni anaomba maji?Hakufunga huyo?
 
Back
Top Bottom