Ubabe wa Magufuli unavyozidi kumharibu kisiasa

Leo kamuambia John Mnyika kama kweli anauchungu na nauli mpya za kivuko kwanini anakaa kimya kuhusu kiiingilio cha kituo cha mabasi ubungo ama wananchi wa jimbo lake hawaumizwi na hilo, kisha akampongeza Mdee kwa kukaa kimya. Wenzie wa CCM kawastahi hakuwa-attack kihivyo.
 
Kalale ofile! Katamila omuguta! na cjuhi kwanini ww housekeeper umeruhusiwa kuwa humu muda huu wakati unatakiwa kuwa jikoni! inawezekana huna ufahamu wa hali ya nchi na uchumi ulivyo! hivi nauli ya dalax2 kituo hadi kituo unajua bei yake? ukitoka fire hadi kariakoo au kutoka Akiba hadi Posta au kutoka posta mpya hadi ya zamani unalipa bei gani? ukijibu swali hilo nina imani utaacha kufikiri kwa makalio kama Wabunge wako wakiongozwa na Mtemvu! Magufuri ni waziri makini sana na hiyo nauli ni ndogo sana kwa hali ilivyo kwa sasa! Nilifikiri Mnyika angeendelea na kutatua kero za maji kuliko kujihusisha na ujinga kama huu! ckutegemea kuona wabunge wanatafuta umaarufu kwa shs 100, bac kama ndo hivyo kwa nini hawataki kuutafutia kwenye shs 200,000 za posho? shame on them! Kwetu Iringa nahisi unaweza kuwa beki tatu wa Luhanjo ww maana ndo familia zinazotumia makalio kufikiri!

Sijakuelewa kabisa!!

Watu wanamlaumu Maghufuli kwa kauli zake za dharau zaidi kuliko kupandisha nauli.

Na mimi nikawakumbusha watu atokako huyu Pombe. Watu wa kule wanajiona sana na wana dharau mno, typical of him!!!
 
Heshima yake imeshuka

Tatizo kubwa ambalo naliona kwa viongozi mbalimbali nchini na Afrika kwa jumla hawako tayari kukubali kosa, hii ni kasoro kubwa katika jitihada za kujenga utawala bora, viongozi wengi wanafuata mfumo wa kizamani wa kichifu, kwamba kubwa hawezi kufanya makosa, na kama kuna kosa la wazi basi jitihada za kubadili maana ili kujisafisha hufanyika
 
Kuna msemo mmoja unasema: 'No one wants to hear the bad news but it is good to hear the bad news'. Kwa kuongezea hakuna mtu anataka kuambiwa ana ugonjwa fulani lakini ni vizuri daktari akakumbia unaugua nini hata kama ni Ukimwi ili ujue nini cha kufanya. Alichosema Magufuli ndicho watu wengi wangesema (pengine privately) lakini with Magufuli kama ni jembe anasema jembe na sio vinginevyo. Inawezekana kabisa wengi wetu hatukufurahishwa na maneno aliyotumia lakini walau amesema ukweli bila kuficha. Na nadiriki kusema kama viongozi wetu wangekuwa wawazi kama Magufuli tungekuwa mbali.

Hii tabia ya kusema 'serikali inafikiria, mara tuko kwenye mchakato, oh tunaangalia uwezekano etc etc..... matokeo yake ndio tunaona. Sote tulishuhudia sakata la serikali na wamiliki wa vituo vya mafuta (hata BP ambayo serikali ina hisa 50%). Na walifanya hivyo kwa sababu wanajua baadhi ya viongozi wa serikali hii wakisema moja wanamaanisha sifuri. Lazima tufuki mahali tuwe na ngozi ngumu na tuangalie matamshi au matukio katika context nzima sio kunyofoa vitu nusu nusu. Magufuli kaza buti.
 
Sijakuelewa kabisa!!

Watu wanamlaumu Maghufuli kwa kauli zake za dharau zaidi kuliko kupandisha nauli.

Na mimi nikawakumbusha watu atokako huyu Pombe. Watu wa kule wanajiona sana na wana dharau mno, typical of him!!!

Labda ndo kiini cha kuamua kuwadhalilisha wananchi kwa matusi, kejeli na dharau?
 
Alipokomalia uuzaji wa nyumba za serikali ndipo nilimwacha kumwamini!

Mkuu hapo alikuwa anatekeleza maamuzi ya baraza la mawaziri ambalo mwenyekiti wake ni JK!
Yeye alipewa kibendera tu kama captain!
Ungetegemea aamke tu out of nowhere na atangaze kuuza nyumba za serikali?
 
Samahani jamani, najua mtaniita MKABILA, ila naomba niwakumbushe kitu hapa:

Hivi Maghufuli anatoka wapi hapa Tz??

Si mnazifahamu tabia za walio wengi watokao kule??

typical, isn't it???

Samahani

No usigenerise kuwa watu wote wanaotoka maeneo yale wako hivyo fikiria ni viongozi wangapi wa serikali wanatoa kauli za maudhi kama zake je wanatoka ule mkoa?
 
Kuna msemo mmoja unasema: 'No one wants to hear the bad news but it is good to hear the bad news'. Kwa kuongezea hakuna mtu anataka kuambiwa ana ugonjwa fulani lakini ni vizuri daktari akakumbua unaugua nini hata kama ni Ukimwi ili ujue nini cha kufanya. Alichosema Magufuli ndicho watu wengi wangesema (pengine privately) lakini with Magufuli kama ni jembe anasema jembe na sio vinginevyo. Inawezekana kabisa wengi wetu hatukufurahishwa na maneno aliyotumia lakini walau amesema ukweli bila kuficha. Na nadiriki kusema kama viongozi wetu wangekuwa wawazi kama Magufuli tungekuwa mbali.

Hii tabia ya kusema 'serikali inafikiria, mara tuko kwenye mchako, oh tunaangalia uwezekano etc etc..... matokeo yake ndio tunaona. Sote tulishuhudia sakata la serikali na wamiliki wa vituo vya mafuta (hata BP ambayo serikali ina hisa 50%). Na walifanya hivyo kwa sababu wanajua baadhi ya viongozi wa serikali hii wakisema moja wanamaanisha sifuri. Lazima tufuki mahali tuwe na ngozi ngumu na tuangalie matamshi au matukio katika context nzima sio kunyofoa vitu nusu nusu. Magufuli kaza buti.


1) Hebu mpe Magufuli wizara kama ya Ngereja uone kama wenye vituo vya mafuta watatuchezea shere kama vile hatuna serikali. Hata huo mgao wa umeme na dana dana za TANESCO zingepungua sana.

2)Mpe Magufuri wizara ya maliasili uone kama wanyama watauzwa nje kama sukari inavyopelekwa Kenya wakati wananchi wananunua kwa bei ya ajabu.

Jamani, we need strong man as the next President. This is the bitter pill we have to swallow.....
 
  • Thanks
Reactions: FJM
No usigenerise kuwa watu wote wanaotoka maeneo yale wako hivyo fikiria ni viongozi wangapi wa serikali wanatoa kauli za maudhi kama zake je wanatoka ule mkoa?

Hii ni sawa na kusema Wa*** ni Malaya, ingawa Malaya wote sio Wa***** Au Wa*** ni wezi, ingawa wezi wote sio Wa*****!!!!
 
Kuna msemo mmoja unasema: 'No one wants to hear the bad news but it is good to hear the bad news'. Kwa kuongezea hakuna mtu anataka kuambiwa ana ugonjwa fulani lakini ni vizuri daktari akakumbua unaugua nini hata kama ni Ukimwi ili ujue nini cha kufanya. Alichosema Magufuli ndicho watu wengi wangesema (pengine privately) lakini with Magufuli kama ni jembe anasema jembe na sio vinginevyo. Inawezekana kabisa wengi wetu hatukufurahishwa na maneno aliyotumia lakini walau amesema ukweli bila kuficha. Na nadiriki kusema kama viongozi wetu wangekuwa wawazi kama Magufuli tungekuwa mbali.

Hii tabia ya kusema 'serikali inafikiria, mara tuko kwenye mchako, oh tunaangalia uwezekano etc etc..... matokeo yake ndio tunaona. Sote tulishuhudia sakata la serikali na wamiliki wa vituo vya mafuta (hata BP ambayo serikali ina hisa 50%). Na walifanya hivyo kwa sababu wanajua baadhi ya viongozi wa serikali hii wakisema moja wanamaanisha sifuri. Lazima tufuki mahali tuwe na ngozi ngumu na tuangalie matamshi au matukio katika context nzima sio kunyofoa vitu nusu nusu. Magufuli kaza buti.

Kwa bei alizosema ni poa tu, nauli inabidi ipande tu, ni kweli kasema kiubabe, labda yale maneno ya kwamba watu wapige mbizi , hapo ndipo alipokosea.
Kuna matatizo ya kukusanya nauli pale na sehemu nyingine zote nchini.
Na sie watanzania tumezidi kupenda vya bure bure mno, wala sikushangaa wahisani walipotupa masharti ya mikopo, ya kuwapa haki zote mashoga.
Wananchi inabidi tuchangie serikalini, iwe kwenye maswala ya kodi kwenye biashara zote nchini, hata ziwe ndogo kivipi. TBC wanahangaika kila kukicha na fedha pale, sababu ni sie kutokulipa TV licence kila mwaka, nani anasimamia hili? Hatujui!
Kuanza waendesha maguta, pikipiki, wauza mandazi, matunda, chapati na maandazi, duka na mpaka mabiashara makubwa ni lazima walipe kodi. Full stop.
Sasa swala la kukusanya kodi ndipo kwenye tatizo, hapo ndipo tupashupalie.
Ila Dr. Magufuli yuko sawa kabisa, na kafuata sheria zote za sheria, bila kuchangia hela kwenye hiko kivuko, kitajiendesha kivipi? Kuna maswala ya vipuli, mafuta, wahudumu na dereva.
Kudos Dr. Magufuli
 
Waziri Magufuli amempongeza Mbunge wa Kawe, Mheshimiwa Mdee kwa kukaa kando badala ya kuungana na wabunge wa DSM kuhusu suala la nauli ya kivuko kama alivyofanya Mbunge wa Ubungo Mheshimiwa Mnyika, huku kukiwa na matatizo lukuki jimboni kwake Ubungo kama vile ukosefu wa maji na mabweni UDSM.

Source: Clouds FM
 
Siku zote Magufuli hajawa mstaarabu kwa kauli zake. Uongozi unahitaji kujua kuheshimu wenzako hasa kwa kauli unazozitoa mbele ya unaowaongoza. Ili kuweza kuongoza kwa staha ni lazima uheshimike na wale unaowaongoza. Hii itakuja pale utakapo waheshimu watu wako kwanza. Kwa hili kakosea kwa kutoa kauli chafu. Yako mengi ya kuweza ku justify upandaji wa nauli lakini si kauli kebehi.

Kiubinadamu, kisiasa na kijamii kakosea. Sina la kumsaidia. Ki u kweli siku nyingi niliona akipewa nafasi kubwa -- say -- uwaziri mkuu tuu atakuwa dikteta ambae hajawahi kutokea bongo hii
 
Hivi watanzania mtaacha lini kulalamika? Hivi ni kweli nauli ya Tsh.200. Ni swala la kulalamika? Je tunatumia busara kweli? Jifikirie umekuwa na bei ya sh 100. Kwa zaidi ya miaka 17 。je gharama za uendeshaji zinafanana kipindi kile na saasa? Chombo hicho kila siku kinabenwa na serikali ..je unategemea ni serikali gani ya kuendelea kuhudumia kitu kisichoweza kujiendesha chenyewe?je tutafika kweli na hali hii? Tanzanian are good at complaints than actions. Mfano hiyo vPanton iharibike leo je kuna pesa za kulitengeneza? Ni suala la wazi kabisa kuwa pesa hakuna serikalini ndio maana serikali imeshindwa hata kuwalipa madaktari MUhimbili bado hatuwezi hata kujifikiria jinsi gani ya kufika mbele tunaanza kulalamikia nauli ya ya miamoja? Kila kitu kimeshapanda maradufu. Kwanini bei ya Panton isipande?
Magufulii(8).jpg


KWA WANANCHI KIGAMBONI ALIONGEA HIVI:

Kauli inayodaiwa kuwaudhi wananchi hao ni ile iliyotolewa na Waziri Magufuli Januari Mosi, mwaka huu, alipozungumza na wananchi wa Kigamboni kuhusu nauli hiyo mpya na kuwaambia kuwa


asiyetaka kulipa nauli hiyo
  • apige mbizi baharini
  • kuzunguka Kongowe kuingia katikati ya jiji au
  • arudi kijijini akalime.

KWA WAANDISHI WA HABARI ALIONGEA HIVI
Pia baadaye siku hiyo hiyo, akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za wizara hiyo, alisema

yeyote asiyetaka nauli hiyo mpya kutozwa,

anunue kivuko chake na akitaka akipe jina la chama chake cha siasa kisha atoe huduma hiyo kwa Sh. 100 au bure ilimradi aende kwake (waziri) kupata kibali cha kutoa huduma hiyo.

Mtazamo wangu juu ya Magufuli
Nilivyokuwa namfikiria Magufuli kwa sasa nimeanza kubadili msimamo, maana mambo ya uongozi si shauri ya kufanya utakavyo na kutojali wananchi unaowatumikia. Na mtazamo wake kila kinachopingwa anasukumia vyama vya siasa kama alivyoongea na waandishi wa habari. Huu ni upeo wa kidikteta, Magufuli ni mwanaharakati wa mfumo wa kidikteta.
 
Well whether u take it or not. For this country need a strong person to run the country ..yes even a dictator I would appreciate him/her if reaches the country to prosperity.
 
Inawezekana hata RC wa wakati huo (Iringa) Dr.Kleruu umauti ulimkuta kwa lugha za kuchefua kama hizi.
Sioni sababu za Magufuli kuwa na lugha chafu kiasi hii.Kama waziri sisi watanzania/wana Kigamboni ni walipa kodi na hivyo huduma ya pantoni inaweza kutolewa bure maana kodi inayolipwa inaweza kuendesha/kulipia gharama ya uendeshaji.


Viongozi wa jamii ya Magufuli hawafai hata kuwa Mwenyekiti wa Kijiji sembuse waziri ndiyo maana Serikali hii inaitwa Serikali Legelege.
 
magufulii%288%29.jpg


kwa wananchi kigamboni aliongea hivi:

kauli inayodaiwa kuwaudhi wananchi hao ni ile iliyotolewa na waziri magufuli januari mosi, mwaka huu, alipozungumza na wananchi wa kigamboni kuhusu nauli hiyo mpya na kuwaambia kuwa


asiyetaka kulipa nauli hiyo
  • apige mbizi baharini
  • kuzunguka kongowe kuingia katikati ya jiji au
  • arudi kijijini akalime.


kwa waandishi wa habari aliongea hivi
pia baadaye siku hiyo hiyo, akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za wizara hiyo, alisema

yeyote asiyetaka nauli hiyo mpya kutozwa,

anunue kivuko chake na akitaka akipe jina la chama chake cha siasa kisha atoe huduma hiyo kwa sh. 100 au bure ilimradi aende kwake (waziri) kupata kibali cha kutoa huduma hiyo.

mtazamo wangu juu ya magufuli
nilivyokuwa namfikiria magufuli kwa sasa nimeanza kubadili msimamo, maana mambo ya uongozi si shauri ya kufanya utakavyo na kutojali wananchi unaowatumikia. Na mtazamo wake kila kinachopingwa anasukumia vyama vya siasa kama alivyoongea na waandishi wa habari. Huu ni upeo wa kidikteta, magufuli ni mwanaharakati wa mfumo wa kidikteta.
mwongozo wa spika au kuhusu utaratibu, waziri magufuli ametumia lugha ya maudhi kwa wakaaji wa kigamboni na kwa wananchi ujumla, napendekeza azuiwe asiwe msemaji wa jambo lolote kwa kipindi cha miaka minne maana kauli zake ni za kuzamisha jahazi letu la cmm lenye tanga bovu pamoja, nahodha mbovu na mabaharia wake wabovu, abiria lazima tuzame tutake tusitake.

 
Magufuri hana maana yoyote. Matatizo ya maji si yupo kwa Mwandosya? Kama Prof mgonjwa si yupo Eng. Lwenge? Huko UDSM wakuu wa chuo wako wapi? Kero ya Kivuko Kigamboni ni sawasawa! kushughurikiwa kwa kutetewa na wabunge hawa. Magufuri arobaini yake inakaribia.
 
Waziri Magufuli amempongeza Mbunge wa Kawe, Mheshimiwa Mdee kwa kukaa kando badala ya kuungana na wabunge wa DSM kuhusu suala la nauli ya kivuko kama alivyofanya Mbunge wa Ubungo Mheshimiwa Mnyika, huku kukiwa na matatizo lukuki jimboni kwake Ubungo kama vile ukosefu wa maji na mabweni UDSM.

Source: Clouds FM

na hayo mawazo kwenye hiyo rangi katoa Magufuli ama umeongeza wewe mwenyewe mtoa mada....! daah mwsho wa siku Mta,shauri Mnika akaweke Maji hata kule Lualo Jeshini kwaku yeye ni Mbunge....
 
Back
Top Bottom