Ubabe wa ccm bungeni wao wakitoa hoja ok wapinzani no!why

chibuga mugeta

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,176
1,055
Nimekuwa nikijiuliza tabia iliyoanzishwa na CCM,kama kuna inshu tete inayotishia amani ya taifa au ni gumzo la taifa,hata kama wapinzani wakitoa taarifa au wakiomba hoja izungumzwe itafungwa haraka au haitakubalika ila wakiwahi kutoa CCM inakubaliwa haraka kwani nia yao ni nini?ebu wana jf tujadili hili?
 
hawa mbona lengo lao lipo wazi tu na inafahamika kabisa. wanadhani hiyo ndo njia ya kudhoofisha upinzani. ila wamechelewa sana, maana hawaaminiki tena, na watanzania wengi wameshawashitukia. kwa kifupi ni kwamba wananchi walishachambua pumba na mchele kitambo na walishamjua nani hasa yupo kwa maslahi ya nchi na si kwa maslahi ya chama.

lakini hawatupi shida sana, wakibana bungeni tutawaelimisha wananchi kupitia mikutano ya hadhara M4C, magazeti mpaka kwenye mitandao ya kijamii kote huko hawana uwezo wa kuzuia. yaani hawa kifo mbona kilishawakuta tayari, hawana uwezo wa kupambana na nguvu ya umma, acha wajaribu kutapatapa, ila safari hii hawatoki, MPAKA KIELEWEKE!!!!!
 
ni kutaka kujenga credibilty ambayo walishaikosa siku nyingi, sasa wanacho jaribu kufanya ni kudraw attention ya wananchi ili waonkane wanafanya kazi kweli kumbe ni unafiki hawapo hapo kwa ajiri ya mwanachi zaidi ya maslahi ya chama nk ila kwa sasa wamechelewa maana wananchi maisha kila siku yanazidi kuwa magumu hivyo ni kuwapotezea tu.
 
Back
Top Bottom