Ubabe mwingine wa wakurya haufai!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Mkurya kaumwa homa,akaenda hospitali ili apimwe malari. Laboratorian akachukua kijisindano chenye ncha kali ili amtoboe kidoleni apate sampo ya damu. Mkurya kuona kisindano kidogo na jamaa anahangaika kubinya kidole damu itoke, akamwambi,"mura unahangaika nini kubhata damu tu, hebu fungua bhegi rangu kuna shoka nipasue phophote hata kichwani ubhate damu ya kutosha."
 
Haaaa,,haaa,
ahaaa..
Mbavu zangu jamani...
Kesho napewa notes jamani..
Nyumba ya kupanga na haina siling bod..
Nimecheka mpaka mwenye nyumba kaamka...
Haaaaaaaaaa....aaa!!!
 
Back
Top Bottom