Ubabaifu wa Precision Air kiutendaji

kama wewe ni miongoni mwetu wenye uwezo wa kupanda haya mapipa naomba nikueleze kuwa hail kwa shirika hili bado si suari. na kama una safari ya muhimu kesho kutwa ni afadhali ukaondoka leo coz cancellation zimeongezeka, delay ndo imeshakuwa utamaduni wa kawaida. tunachoshuhudia sisi ni vilio tu vya abiria wakiwa na ticket mikononi.
 
Wacheni ushamba na roho zenu za kwanini!watu tunashare kule hakuna kampuni kama precision air hapa nchini,mbona hamuulizi Uozo wa Atcl.RAIS ANANDEGE NCHI HAINA kama si upimbi nnini!fungeni midomo wanaume sasa hivi tuko DAR STOCK EXCHANGE,Kasome mchangunuo kuna kama Dola million 17 kwa new flight,pilot recruitment,tunajenga garage ya kampuni itakayogharimu 1.7billion,acheni umbeya hakuna cha flight540,jetlin au atc,zote kero imebaki Precion air toka 1990 nendeni kwenye website yao muone future plan y 30yrs to come.MICHAEL SHIRIMA 51%+kenya airways 49% hao ndio wenye hisa.
 
Ni kweli precionair hawako vzuri,the other time ilikuwa nifanye connection ya flight yao kutoka Nairobi tulikaa pale masaa matano delay hatimaye ndo tukaruka na captain Mkandawire. wajipange vzuri zaidi kiujumla ubora wa ndege, na customer care!ni kampuni ya kenya hii though iko based in Dar, Director wao Kioko ni mkenya anajua kiundani kabisa
 
Kwa kuwa wewe una share huko basi kampuni inafanya vizuri na wanaoona makosa ni "mapimbi"? Makubwa!

Wacheni ushamba na roho zenu za kwanini!watu tunashare kule hakuna kampuni kama precision air hapa nchini,mbona hamuulizi Uozo wa Atcl.RAIS ANANDEGE NCHI HAINA kama si upimbi nnini!fungeni midomo wanaume sasa hivi tuko DAR STOCK EXCHANGE,Kasome mchangunuo kuna kama Dola million 17 kwa new flight,pilot recruitment,tunajenga garage ya kampuni itakayogharimu 1.7billion,acheni umbeya hakuna cha flight540,jetlin au atc,zote kero imebaki Precion air toka 1990 nendeni kwenye website yao muone future plan y 30yrs to come.MICHAEL SHIRIMA 51%+kenya airways 49% hao ndio wenye hisa.
 
Du! haya tena makubwa, ina maana sisi tulionunua vishea huko tumeliwa?

Big time! Wana madeni makubwa know, mkipata dividends hivi karibuni nendeni mkatoe sadaka ya shukurani. Mie naona ni kama share za TOL tu.
Yaani mkuu hukuona hata earning per share? At 475 per share it was heavily overpriced, labda ingekuwa 200.
 
Back
Top Bottom