Uanzishwaji wa shahada mlimani na dosari zake

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
Leo naibu wa viwanda na biashara ndg lazaro nyalandu kazindua shahada 2 za uzamili (master's program) - master of int. trade na master of int. business ambazo zinatolewa na UDBS. Ni jambo zuri lakini kuna maangalizo hapa. UDBS wanatoa shahada ya uongozi wa biashara-Bachelor of Business Administration. Hii shahada haitambuliwi rasmi na chuo kikuu! Huwezi ukamaliza BBA na chuo kikakuajiri! Hili ni tatizo sana kwa nini chuo kinakubaliana na udbs kutoa koz ambayo hawawezi kumuajiri mhitimu? Tunaomba majibu katika hili kwa kweli la sivyo waiondoe ama waiboreshe ama chuo kiajiri hao wahitimu wa hiyo kozi. Chuo kikiitambua itakuwa rahisi pia kutambulika rasmi popote. Majibu plz
 
Back
Top Bottom