Uanzishwaji wa Benki ya walimu,,,

wapeleke ujinga wao huko kwa familia zao,kwanza hatuja ona tija yoyote juu ya utatuzi wa matatizo juu matatiza ya walim,walim wana madai chungu mzima wapuuzi hawa wakafanye biashara yao huko.nahasira nao hawa .
 
Mchawi wa mwalimu huwa ni mwalimu mwenyewe, inaweza kuwasaidia endapo haitaongozwa na waalimu namaanisha kwenye management wasiweke mwalimu hata mmoja!!
 
Inaanzishwa na CWT jengo la Mwalimu house ilala.
 
Sitegemei kama mwl atafaidika na hiyo Benk,
Ni biashara nzuri, italipa sana. Je NMB itakuwa ktk hali gani baada ya waalimu kuhamia ktk benki yao?.
 
Mishahara ya walimu itaingia kupitia bank hiyo.
 
Back
Top Bottom