Uandishi wa vitabu utanitoa?

Cassava

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
282
36
Wana janvi habari zenu na poleni kwa shughuli za hapa pale.

Naombeni ushauri na maelekezo kuhusu utungaji na uandishi wa vitabu.

Mimi naishi mkoani, nimekuwa nikiandika vitabu lakini sija chapisha hata kimoja, sasa ninavyo viwili viko kwenye soft copy.

Sasa naombeni kufahamu yafuatayo;
1. Ni publisher yupi anayeaminika kwa Dar na bei yake ni reasonable kwa karatasi nyeupe na picha za rangi kitabu chote?

2. Je, Ku publish kitabu cha page 150 inagharimu bei gani?

Kwa yeyote mwenye uelewa naomba anisaidie.
 
Ingia hapa mkuu: publishers utapata adress zao na namba za simu.
 
Nami naomba kujua umetunga kuhusu nini?
Japo utaona nimekua tafauti na msaada uliohitaji...
 
Cassava Tatizo lako linalokushinda kuchapisha vitabu ni nini? Pesa au kitu gani. Njia za kuchapisha kitabu ziko 2. Kwanza unaweza kukisimamia mwenyewe kulipia uchapishaji na kusambaza au kutumia publisher. Njia ya kwanza ni rahisi kwa sababu haina mikwara ukielekezwa unaweza kufanya. Njia ya pili ni ngumu kwa sababu Publishers wa tz siyo waaminifu pia inabidi waukubali mswaada wako ndiyo kichapishwe na kusambazwa kulipana napo ni matatizo. Mimi ni mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri. Nimechapisha nakala 4,000 na nimeuza nakala 3,000 tangu mwaka 2008. Tuwasiliane ili nikupe ushauri. Nipigie simu 0755394701.
 
mikela bana!!
Hiyo thread yako inatukatisha tamaa sisi tunaoanza na utayarishaji wa kuandikiwa vitabu. Huoni ingekua vzuri utuelekeze namna yakujiepusha nao! Ili tuendeleze malengo yetu.
 
Cassava Tatizo lako linalokushinda kuchapisha vitabu ni nini? Pesa au kitu gani. Njia za kuchapisha kitabu ziko 2. Kwanza unaweza kukisimamia mwenyewe kulipia uchapishaji na kusambaza au kutumia publisher. Njia ya kwanza ni rahisi kwa sababu haina mikwara ukielekezwa unaweza kufanya. Njia ya pili ni ngumu kwa sababu Publishers wa tz siyo waaminifu pia inabidi waukubali mswaada wako ndiyo kichapishwe na kusambazwa kulipana napo ni matatizo. Mimi ni mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri. Nimechapisha nakala 4,000 na nimeuza nakala 3,000 tangu mwaka 2008. Tuwasiliane ili nikupe ushauri. Nipigie simu 0755394701.

Asante sana kaka, nitakutafuta na nitakuja dar, muda si mrefu.
 
Wasomaji wa vitabu tupo...ila kuna ladha fulani tuliyoikosa,ambayo imepoteza morari kiasi kikubwa wa kusoma vitabu...nijuavyo jamvini humu kuna magwiji wa uandishi,wachambuzi,wahariri na mmoja mmoja asiye kwenye tasnia ya uandishi ambao kama watakuconsult unaweza kuwa Egie Ganzel wa kizazi chetu (huyu ni mfano tu ila wapo wengi wengine naothamini michango yao)
 
Back
Top Bottom