Uandikishwaji kwenye Daftari la kudumu la wapiga Kura

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
Wakuu; nimekuwa na pilika za hapa na pale na nilimiss zoezi la kwanza huko Dar; Wakati fulani niliambiwa kuwa muda umeongezwa; Je bado zoezi linaendelea ama nianze taratibu za kujiandikisha mkoani?:confused2:
 
Wameongeza siku mbili tarehe 22 na 23 Mei 2010. Mkoa gani ambako ulitaka kwenda kujiandikisha? Na kwa misingi ipi? Ndiko unakotokea? Au ungeenda mkoa wowote ambako uandishaji ungekuwa unaendelea? Kama ni Mtwara na sio kwenu, je siku ya uchaguzi ungeingia gharama za kwenda huko (usafiri, malazi, n.k.) kwa ajili ya kupiga kura? Kama hapana, basi wewe unataka kadi hiyi kama kitambulisho tu!
 
Back
Top Bottom