Uandikishaji Daftari la Wapiga Kura Aibu Tupu

Tunaweza kupunguza gharama nyingi za mambo ya kijamii kama uandikishaji wa wapiga kura n.k. kwa kutumia records za ngazi za chini za serikali kuanzia mjumbe wa nyumba kumi.
Watu wanaweza kujiandikisha pale serikali za mitaa, majina yakabandikwa ubaoni na daftari likawekwa ndani tume wakacopy.
Wananchi wa eneo moja wanajuana na mgeni akija anaongezwa kirahisi tu.
Watendaji wa mitaa na vijiji wana kazi gani? Au tume ya uchaguzi inaogopa kuwatumia ili budget yao isipungue?
 
Back
Top Bottom