Uandame, usiandame..... Lazima kieleweke!!

Waooooh! Sasa usitinge tena ile hijab yako, pigilia ile makitu nlokununulia Paris

attachment.php
hii ndio vunja jungu ya ukweli ile ya mwanzo wa mfungo ilikuwa kubip kamanda nimekuaminia kwa kampeni yako
 
Hahahaha... stuka mwaJ.... mme wako akiwa kwako. Akiwa nje si wako.

attachment.php
Asprin mie huwa sisikilizi hayo maneno ya kifitini ndio maana huwa sigombani na msiri wangu Kaizer. Mjeshi wangu wala huwa hahitaji kutunga uongo ili apate visa kwenda club n.k. Yeye hutoka tu maana anajua kuwa najua akiwa kwangu wangu na hata asipokuwa kwangu wangu vilevile!
 
Last edited by a moderator:

Maneno kuntu haya wa siri wangu mwaJ!
 
Last edited by a moderator:
heeeeeee bora ulivyoandama!!!!!!!! gfsonwin NEXT OF KIN karibu tusherehekee huku!! twin Eversmilin Gal eid mubarak wajina enni pia karibu tupige kitu cha rangi!! Asprin mfate hommie wako Kaizer mje pande hizi natoa ofa ya eid!! usisahau wake zako (misss chitchat cacico BADILI TABIA na Yummy wakiongozwa na Kongosho)!! Kaizer we mkeo utamkuta hukuhuku Excellent njoo pande hizi upate vitu adimu!! my wii Arabela na kaka zubedayo_michuzi jiandaeni kupokea wageni!! shem wangu wa ukweli @st.paka mweusi eid mubarak we pia njoo pande hzi!! mtonye @figganiga nae aje!! ummu kulthum na mmeo P !! nyote mwakaribishwa!! Preta, CUTE, Mwali na Roulette wote mnakaribishwa!! KARIA ukija huku upunguze mambo yako yale!! Mentor na mkeo cute Catherine wote nawangoja kwa ham!! bila kumsahau bepari la kihaya Bishanga!! The secretary, beibe nasty na chit chatters wooooooote!!
EID MUBARAK
 
.

mwaaaaaaaaaaaaaaaah! my next of kin nakupendaje sasa?
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom