Uandame, usiandame..... Lazima kieleweke!!

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Ndo nshaamua hivyo....

Leo si jumamosi? Liwalo na liwe, mwezi uandame au usiandame mie kurudi kwa mkoloni wangu ni mpaka Jumatanoooo....
Nimechoka kukaa huku kwenye lokesheni yangu ....si mwaijua eh?...

attachment.php


Nikaunganike na wake zangu BADILI TABIA, cacico na Yummy chini ya uangalizi wa Kongosho kujichana mamisosi ya Idi

attachment.php


Then nikimaliza niungane na washkaji zangu Bishanga, Kaizer, BAGAH na Erickb52 kudumisha mila....bila kujali chochote....

attachment.php



Wadada wapendwa, Catherine, Madame B, princess enny, ummu kulthum, gfsonwin na mwaJ tunawakaribisha mjiunge nasi kusheherekea Sikukuu ya Idi (mwezi utajiju usipoandama)...... Vigezo na masharti kuzingatiwa mambo yatakapotuzidia...

attachment.php



Kwaheri mkoloni wangu, karibuni washkaji zangu tujiruuuushe na tuserebuke!

Kwa mapeenzi na furaha wapenzi wangu ninawapa...Mkono wa Idiiiiiii!

Damn hivi leo jumangapi vile?
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaaaaa hubby! mbona maneno hayo muda huu nawajua damuni kuna sumu??? sa mie nitajipigiliaje vitu thatha???? itakuaje jamani??
 
Ndugu zangu, mkimwona Preta mwambie ajiunge nami kusheherekea hii long weekend

attachment.php


Mkimwona Mr Rocky na Judgement waambieni watoke huko waliko wajiunge nasi, mambo iko huku.

attachment.php


Pia Remmy mwambieni asiwe na wasi, PakaJimmy anazingatia vigezo na masharti anayazingatia, shahidi sweetlady alipopewa makazi hapa Idi iliyopita baada ya kulewa sana......

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Kwi!! kwi!! kwi!! kwi!! kwi!! kwi!!,
Teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!!,
Oho!! oho!! oho!! oho!! oho!! oho!!,
Uandame,Usiandame LAZIMA NGUO TUSHONE NA PILAU LIPIKWE.
Na ole wako na wakezo msinialike kwenye mnuso.......,
PATACHIMBIKAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!
 
Asprin mshkaji hapo ni kwenye raha au mafuriko ayo?
sasa babu hiyo ni guest au KANISA?
mbona amri nyingi tena zile za muhimu...LOL
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaa laanakum wallah! hivi unawazaga nini wewe?? jamani?? khaaaaa mume nilipataga!

Sasa hapo cacico unaangalia nini??ila jamaa kasimama...kitu 90 degrees...kulaaaleki,mpaka kwenye ovary....
 
Kwi!! kwi!! kwi!! kwi!! kwi!! kwi!!,
Teh!! teh!! teh!! teh!! teh!! teh!!,
Oho!! oho!! oho!! oho!! oho!! oho!!,
Uandame,Usiandame LAZIMA NGUO TUSHONE NA PILAU LIPIKWE.
Na ole wako na wakezo msinialike kwenye mnuso.......,
PATACHIMBIKAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!
Tena uje na kale kachalii kako ukapetipeti kama kawaida yako........... Hivi kanakufikishaga mawenzi kweli? Mwezi hoyeeeeeeeeeeeee!!!!

02021192d9a6aman-rides-a-cow-funny-pic.jpg
 
:biggrin1: sasa hapo kwenye menu mbona kuna MIRINDA? nilifikiri mzee baada ya mwezi bila kitu ungeweka vitu flaani bariiiidiiiii vya kiutu uzima....
 
Tena uje na kale kachalii kako ukapetipeti kama kawaida yako........... Hivi kanakufikishaga mawenzi kweli? Mwezi hoyeeeeeeeeeeeee!!!!

02021192d9a6aman-rides-a-cow-funny-pic.jpg


Lahaulaaaa!!!!!!!Lawata!!!!!!!!!,
Yule alikuwa anaishia mlangoni tu.
Ila Jamani nyie wanaume Mnaonaga mengi duniani humu!!!!!!
Kuta nne zingekuwa na vioo,wallah tena Tusingeangaliana usoni tukutanapo.
 
Back
Top Bottom