Uamuzi wa kuhamishia makao makuu ya polisi Dodoma ni wa kitaalamu au kisiasa?

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
Jeshi la polisi limetangaza kuhamisha makao yake makuu Dodoma mwezi ujao kwa mujibu wa magazeti ya leo. Binafsi nachukulia uamzi huu kama wa kukurupuka. Kwanza Jeshi hilo si taasisi au idara ya kisiasa hivyo uwepo wao sehemu si kwa kigezo cha siasa bali usalama.

Wangejiuliza mfano kwa nini Dar es Salaam kuna mikoa maalum ya kipolisi na Dodoma hakuna. Dar kuna uhalifu mkubwa kulinganisha na Dodoma. Polisi wapo kwa ajili ya kulinda viongozi tu? Au yale yanayosemwa kwamba liko kisiasa ni kweli? Tujiulize unapotokea uvunjifu wa amani sehemu kwa nini wataalamu wa jeshi la polisi hutoka makao makuu kwenda mikoani?

Mfano mauji ya Amboni, milipuko ya Arusha na Zanzibar, au mauji ya msikitini Mwanza polisi walilazimika kutuma wataalamu toka makao makuu. Hii inaonyesha polisi wanahitajika sehemu tokana na unyeti wa kiusalama na si viongozi wa kisiasa watakapokuwa. Lazima tuhoji uamzi wa kuhamia Dodoma ni wa kisiasa au unatokana na tathmini ya kitaalamu ya mahitaji kiusalama?
 
Watu wanataka kumridhisha magufuli. We unahamisha Polisi dar unapeleka Dodoma akili yawapi hii?
Ni vema kama kitu hujui uanze kuuliza na siyo judgemental statement
Kwa taarifa yako...IGP LAZIMA KILA SIKU ASUBUHI AHUDHURIE MORNING CALL YA KIKAO CHA BARAZA LA USALAMA LA TAIFA KINACHOONGOZWA NA RAIS..AKIWEMO MKUU WA MAJESHI...MKURUGENZI USALAMA WA TAIFA..NA WENGINE AMBAO SINA HAJA KUKUTAJIA
Kwa maana hiyo by any means usitegemee kama Rais wa nchi akihamia Dodoma wakuu wa majeshi na wakurugenzi wakuu wa ulinzi na usalama wabaki Dar....LAZIMA NA WAO WAWE PALE
Isitoshe....Kanda Maalumu Dar HAIJUMUISHI Headquarter ya Jeshi..Hizo hazihami na Ma RPC wa hizo Kanda wapo na Kamishna wa Kanda Maalumu wa Polisi ataendelea kuwepo

My take:pICHA AMBAYO NAIPATA HAPA TANZANIA KWA SASA NI KUWA UKIKOSOA NA KUPINGA KILA KITU KINACHOFANYWA NCHINI NDIPO UNAONEKANA UNA AKILI..LKN UKIUNGA MKONO KITU CHEMA UNAONEKANA HUNA MAANA!!!!!...Mhhh the attitude wa are now engaged in damage our destination. ..I stand to be corrected
 
Jeshi la polisi limetangaza kuhamisha makao yake makuu Dodoma kwa mujibu wa magazeti ya leo. Binafsi nachukulia uamzi huu kama wa kukurupuka. Kwanza Jeshi hilo si taasisi au idara ya kisiasa hivyo uwepo wao sehemu si kwa kigezo cha siasa bali usalama.

Wangejiuliza mfano kwa nini Dar es Salaam kuna mikoa maalum ya kipolisi na Dodoma hakuna. Dar kuna uhalifu mkubwa kulinganisha na Dodoma. Polisi wapo kwa ajili ya kulinda viongozi tu? Au yale yanayosemwa kwamba liko kisiasa ni kweli? Tujiulize unapotokea uvunjifu wa amani sehemu kwa nini wataalamu wa jeshi la polisi hutoka makao makuu kwenda mikoani?

Mfano mauji ya Amboni, milipuko ya Arusha na Zanzibar, au mauji ya msikitini Mwanza polisi walilazimika kutuma wataalamu toka makao makuu. Hii inaonyesha polisi wanahitajika sehemu tokana na unyeti wa kiusalama na si viongozi wa kisiasa watakapokuwa. Lazima tuhoji uamzi wa kuhamia Dodoma ni wa kisiasa au unatokana na tathmini ya kitaalamu ya mahitaji kiusalama?
Sioni hoja yeyote ya msingi ya kupinga makao makuu ya Jeshi la polisi kwenda Dodoma bali kwa hoja yako ni wazi makao makuu ya jeshi la polisi yanaweza kukaa popote pale.

Kwa hoja zako hakuna tatizo lolote makao makuu kwenda Dodoma maana hujaonesha hoja za msingi au athari na ikumbukwe wanao kwenda Dodoma ni baadhi ya maafisa na makao makuu ni lazima yaende dodoma na kuna sababu nyingi za msingi kwa makao makuu ya jeshi la polisi kuwa ilipo ikulu.
 
Ni vema kama kitu hujui uanze kuuliza na siyo judgemental statement
Kwa taarifa yako...IGP LAZIMA KILA SIKU ASUBUHI AHUDHURIE MORNING CALL YA KIKAO CHA BARAZA LA USALAMA LA TAIFA KINACHOONGOZWA NA RAIS..AKIWEMO MKUU WA MAJESHI...MKURUGENZI USALAMA WA TAIFA..NA WENGINE AMBAO SINA HAJA KUKUTAJIA
Kwa maana hiyo by any means usitegemee kama Rais wa nchi akihamia Dodoma wakuu wa majeshi na wakurugenzi wakuu wa ulinzi na usalama wabaki Dar....LAZIMA NA WAO WAWE PALE
Isitoshe....Kanda Maalumu Dar HAIJUMUISHI Headquarter ya Jeshi..Hizo hazihami na Ma RPC wa hizo Kanda wapo na Kamishna wa Kanda Maalumu wa Polisi ataendelea kuwepo

My take:pICHA AMBAYO NAIPATA HAPA TANZANIA KWA SASA NI KUWA UKIKOSOA NA KUPINGA KILA KITU KINACHOFANYWA NCHINI NDIPO UNAONEKANA UNA AKILI..LKN UKIUNGA MKONO KITU CHEMA UNAONEKANA HUNA MAANA!!!!!...Mhhh the attitude wa are now engaged in damage our destination. ..I stand to be corrected
Kwa hiyo itakuwaje wakati yeye anasema atahamia Dodoma kabla ya rais? Maana wao wamesema wanahamia mwezi ujao
 
Ni vema kama kitu hujui uanze kuuliza na siyo judgemental statement
Kwa taarifa yako...IGP LAZIMA KILA SIKU ASUBUHI AHUDHURIE MORNING CALL YA KIKAO CHA BARAZA LA USALAMA LA TAIFA KINACHOONGOZWA NA RAIS..AKIWEMO MKUU WA MAJESHI...MKURUGENZI USALAMA WA TAIFA..NA WENGINE AMBAO SINA HAJA KUKUTAJIA
Kwa maana hiyo by any means usitegemee kama Rais wa nchi akihamia Dodoma wakuu wa majeshi na wakurugenzi wakuu wa ulinzi na usalama wabaki Dar....LAZIMA NA WAO WAWE PALE
Isitoshe....Kanda Maalumu Dar HAIJUMUISHI Headquarter ya Jeshi..Hizo hazihami na Ma RPC wa hizo Kanda wapo na Kamishna wa Kanda Maalumu wa Polisi ataendelea kuwepo

My take:pICHA AMBAYO NAIPATA HAPA TANZANIA KWA SASA NI KUWA UKIKOSOA NA KUPINGA KILA KITU KINACHOFANYWA NCHINI NDIPO UNAONEKANA UNA AKILI..LKN UKIUNGA MKONO KITU CHEMA UNAONEKANA HUNA MAANA!!!!!...Mhhh the attitude wa are now engaged in damage our destination. ..I stand to be corrected
yeah,hiyo sababu ina logic,wakuu wa usalama lazima wambrief rais kuhusu mambo ya usalama daily na personaly
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom