Uamuzi wa SAUT-MWANZA wa wasichana kutokuvaa suruali,je ni sahihi?

ni dress - code tu, infact ningeshauri hata taasisi zingine pia zifuate mfano huo.
 
simple hiyo. Huridhiki na utaratibu anza kivyako! Chuo hakiendeshwi kwa interest za wanavyuo, tafuta panapokufaa then join!
 
Mimi nadhani huu uamuzi ni sahihi kabisaaa. Maana badala ya watoto wa kike kuvaa ilikuwa ni mashindano ya kuonyesha Masaburi. Suruali inabana mpaka inachora picha halisi ya mwili!!
Hivi hiyo Masaburi ndio kitu gani?.
 
seriusly...this issue ni ya kutafakari saaaannaaa....je uamuzi wa uongozi wa chuo cha MT. AUGUSTINO Mwanza wa kuwapiga marufuku wadada kuvaa suruali ni sahihi?nahisi wangekataza watu kuvaa leggings na ku 'boost' boobs lakini suruali?mmmhmmm.....hebu lets get to think about it...skirts wadada wa leo wanazovaaa,c bora suruali....mtu anavaa kagauni au kasketi kafupi alafu ni transparent....wats all that?ni bora suruali kwa kweli..SAUT,please re-think your decision........
hii kitu sio haki kabisa na mimi imenisikitisha sana..hawa viongozi /vibbu /viprofesa uchwara vina mambo ya ajabu ajabu sana na utakuta ndio vinaongooza kwa ufirauni.

Hiyo ni sahihi coz unaandaliwa kuwa na ethics za kazi. Unapokua maofisini kuna ofisi zinakataa uvaaju huo lakini mbona watu hawalalamiki na ndo kwanza aplication za kutosha.
pumba

Hicho sasa siyo chuo kikuu bali ni middle school ya enzi zetu!!!

Tunaomba na mkuu wa chuo aanze mara moja kuitwa headmistress/headmaster!!
hii ni kama seminari sasa..huwezi kukiita chuo..hawa mambo ya kikoloni
Hakuna cha kazi hapo,

Ni kujaribu kukimbia vivuli vyetu wenyewe... Hebu nenda kaangalie vibinti vya baadhi ya hao walimu vinavaaje??

Labda kama walimu wate wa SAUT ni matowashi
ukoloni huu wanatuletea..
Wapo sahihi. Hawaangalii contents pia wanafundisha ethical issues ambazo ni pamoja na dressing. Kama wamezuia surual naamin hata skirt fup nazo pia wazikataze. Angalia wanafunz wa MUM wanavyo dress. Wanavutia kwa kwel. Saut big up.
mawazo mgando aka pumba
saaaaaaaaaaaafi saaaaaana lazima tujipambanue siku hizi haijulikani mwanaume yupi na mwanamke ni yupi, tena ni bora wangeongeza wakawa wanavaa wanafunika vichwa vyao tumeisha wachoka tabia zao.
pumba bin pumba
mi kwangu naona ni sahihi tu, kwani inahifadhi maadili ya mtanzania
pumbaa..na je huu ufisadi wa kila siku unaofanywa an hao hao viongozi ndio maadili ya mtanzania sio?
Mimi nadhani huu uamuzi ni sahihi kabisaaa. Maana badala ya watoto wa kike kuvaa ilikuwa ni mashindano ya kuonyesha Masaburi. Suruali inabana mpaka inachora picha halisi ya mwili!!
pumba hii mwanewani...wewe hayo masaburi umeambiwa uyaangalie? acha tamaa zinaua
yaani we hujui tu,ilo swala limenifurahisha sana
big up SAUT, hao watoi had gone too far
pumba pumba aka crap..unafurahi nini sasa?pilipili usioila inakuwashia nini?
mbona chuo kikuu cha kislamu morogoro lazima kuvaa hijabu na darasani kuna partition,yaan upande mmoja wasichana na upande mwingine wavulana,hakuna kuchanganyika,na pia hairuhusiwi wanaume kwenda hostel za kike na wasichana hawaruhusiwi kwenda hostel,za kiume,swala la kuwa na masharubu kwa wanaume ni moja ya mambo yanayohimizwa,zaidi ya hapo ukigunduliwa wewe dini tofauti na uislamu utakuwa unapita semister kwa maombi,maana hawahitaji watu wa mtindo huo-wengi wao hawamalizi,zaidi ya hayo machache hawataki wanafunzi kuwa na mahusiano ya kimapenzi.
ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe

ni dress - code tu, infact ningeshauri hata taasisi zingine pia zifuate mfano huo.
crap
Hivi hiyo Masaburi ndio kitu gani?.
madude ya kukalia ..kila mtu ana ya kwake
 
Nadhani wako right kabisa. Tena natamani waanze kuwavesha uniform manake wadada wanakeraa! Wapige marufuku na vimini...viva SAUT
 
Bado napata shida kama kweli SAUT ni university...Nimajaribu kuangalia kwenye google na itabidi wadau watafakari kama kweli hawa bado wa vigezo vya kuwafanya waitwe chuo kikuu!!

A university is an institution of higher education and research, which grants academic degrees in a variety of subjects. A university is a corporation that provides both undergraduate education and postgraduate education. The word university is derived from the Latin universitas magistrorum et scholarium, roughly meaning "community of teachers and scholars."[SUP][1]
[/SUP]​University - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Bado napata shida kama kweli SAUT ni university...Nimajaribu kuangalia kwenye google na itabidi wadau watafakari kama kweli hawa bado wa vigezo vya kuwafanya waitwe chuo kikuu!!
<br />
<br />
Kajaribu kuangalia taasisi zilizochini/zinazotambuliwa na TCU kama taasisi za elimu ya juu halafu uone SAUT ipo kwenye category gani.
 
Saint Ivuga leo kulikoni mbona naona unafanyakazi kama mwalmu wa Hisabati hasa katika mada ya Hesabu za KUZIDISHA na KUGAWANYA.
Anaweka "kosa" huyo....mmhh!
 
Mi nadhani wangelazimisha magauni ya kipaimara kama wanaporipoti maana wakiripoti hata kwa macho tu unawatambua wape wiki mbili wapajue mjini
 
Wazinzi wote lazima wapinge uamuzi huo,kwani mnafaidika nini kuona matiti na mapaja yao ya ng'ombe na kuku hayawatoshi?
 
ukiona sera hiyo inakubana unaweza kuhamia chuo kkikuu fulani kiko morogoro pale ilipokuwa tanesco conference centre, wana dress code nzuri sana!
huh...............mkuu pale MUM si ndo kabsaa inatakiwa hadi macho yasionekane yani unakua ka ninja
 
yaani we hujui tu,ilo swala limenifurahisha sana
big up SAUT, hao watoi had gone too far
Mh! mbona wee mwenyewe nahisi kama ni mshabiki hizo suruali na nikishuka chini kidogo ya hiyo avatar yako naona kama na wee umepiga jins havy!
 
Anaesupport mpenda chini sana na anatamaa. Ki2 kinachowapeleka pale ni Elimu siyo mavazi..
 
Yani hawa watu dis tym wmekua too much mpaka kichefuchefu bora wangefanya vyuo vyote iwe hivyo mana wanakera na masaburi yasiyokaa kimpangilio!!
 
Back
Top Bottom