Uamuzi wa kuoa

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Wana JF habari za furahiday,

Nimesikiliza nyimbo nikapata cha kujumuika nanyi leo ni wanamuziki wawili ndio wamenifanya niseme, bahati mbaya wote ni marehemu, Mungu awalaze mahali pema peponi.

Mzee Patric Balisdya aliimba,
''kuoana ni jambo la sifa na tena ni jambo la fahari kubwa....''

Kaka Marijani Rajabu aliimba,
''uamuzi wa kuoa sasa hivi sina....''

kuna mweye nyimbo hizi azilete jamvini tuburudike? na pia tafadhali leteni maoni ni sababu zipi zinasababisha watu kuoa/kuolewa mapema au kuchelewa kuoa/kuolewa na pia msisahau wapo walioamua hawaoi/hawaolewi, sababu ni zipi jamani tuelimishane itatusaidia wengi.
 
Ngoja niongeze na ubongo wa fleva kwanza;

MwanaFA unaoa liniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
bado niponipo kwanzaaaa!
eeeh unasemaaaaaaaaaa?
bado niponipo mamaaaaa!
 
Ngoja niongeze na ubongo wa fleva kwanza;

MwanaFA unaoa liniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
bado niponipo kwanzaaaa!
eeeh unasemaaaaaaaaaa?
bado niponipo mamaaaaa!
HAHAHAHAHAHA!
anataka kuolewa na anamegwa kama kawa
demu wako kiu ya wenzako
sioi leo sioi kesho mimi wala mtondogoo
 
Back
Top Bottom