Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...!

Hawa ndio wanaohamasisha Vurugu:


 
duh kweli hawa jamaa wamejitoa Muhanga, lakini nimetoka kuangalia taarifa ya habari sasahivi nikamsikia Dereva wa sheikh Farid akielezea kisa kizima namna ilivyokuwa, hapo ninadoubt kumbe jamaa alikuwa anaongea na simu zen akaenda mwenyewe kupanda kwenye gari linalodaiwa kumteka. na amepanda kanakwamba anawajua waliokuwemo. nina wasiwasi hapa kuna mchezo
 
Sielewi na sijui nitafanyeje ili nielewe. Jeshi la Polisi na CCM ambao wamekuwa too readily kuuwa wananchi kwenyemikutano ya CHADEMA kote nchini wameshindwa kabisa kushughulika na wahalifu wachache. Sielewi mimi.

yani hata mimi sielewi kwakweli, kwanini wasiwapige na vitu vizito mpaka washike adabu?????? khaaaa!!!!!!!! lakini nimeangalia taalifa ya habari jana kunawazanzibar wamesusia kikao na kushinikiza kuwa hili kundi la uamsho lifutwe, wanasema wanawatia aibu waislam wenzao, tena wamewachoka, na vitendo vyao. hao wanao sema hivyo ni waislam wenzao hebufikilia.
 
Hili halina mjadala kwani waliwahi kusema ikiwa kiongozi wao atatoweka na kuuliwa basi hawana sababu ya wao kulipiza kisasi.
Kabla mambo hayajafika mbali tayari Polisi wa FFU ameuliwa huko BUBUBU,hapo inaonyesha wazi ni namna gani wananchi walipofikia.WaZanzibar wanajulikana wazi kwa ukakamavu dhidi ya jeshi la polisi,ikumbukwe kule Pemba polisi kibao waliuliwa kwa kuchinjwa na kitu chenye ncha kali wakati wa 2001,kama sikosei.

Habari zilizo mitandaoni zinasema KUTOKANA NA KUTOWEKA KWA AMIR FARID NA KUPELEKEA WATU KUINGIWA NA HASIRA NYUMBA YA MAKAMO WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZ SEIF ALI IDDY IMEVUNJWA HUKO BUBUBU.

Mapolizi wamekuwa wakiua raia kiholela si huko Zanzibar hata huku Tanganyika wamekuwa na mtindo wa kuuwa wananchi kirahisi ,kesi kibao zinazowahusu polisi kuuwa zimekuwa zikipotea kwenye thin air na hakuna wa kuhoji.
Ingawa Tanganyika bado wamelala wakiruhusu polisi kufanya watakavyo ,Zanzibar sivyo walivyo.
 
tena nabado huo wasi wasi wako uendelee, na huo mchezo utaendelea mpaka waislam msio na akili kama ninyi mshike adabu pumbafu...........

duh kweli hawa jamaa wamejitoa Muhanga, lakini nimetoka kuangalia taarifa ya habari sasahivi nikamsikia Dereva wa sheikh Farid akielezea kisa kizima namna ilivyokuwa, hapo ninadoubt kumbe jamaa alikuwa anaongea na simu zen akaenda mwenyewe kupanda kwenye gari linalodaiwa kumteka. na amepanda kanakwamba anawajua waliokuwemo. nina wasiwasi hapa kuna mchezo
 
TAMKO ATOA AMIR AZZAM -MBUYUNI.

Viongozi wa jumuiya Uamsho.sh Amir Azzan ameipa serikali muda wa masaa 26 mpka kesho sa 10 laasir.Amir Farid awe kishaachiwa.
Ila amewataka wananchi wawe na subra na watunze Amani hadi hapo kesho laasir.
Sh Azzan anasema ccm,Jeshi la polisi na Jeshi la wananchi Tanzania wamehusika kwa habari waliozipata.
Inasemekana walomteka walikuwemo ma jeshi 2 na polisi wa ffu 2 na viongozi wa ccm.
Tunaiman Amir Farid bado yuhai na yupo hapa hapa Zanzibar.
Safari hii mpaka kieleweke.
Waislamu hakuna kurudi nyuma biidhni llah tutampata Amir Farid


source ;fb page ya jumuiya ya uamsho(T)

Honestly, hawa sio wahuni, ni magaidi (Terrorists) as defined under the Terrorist Act.

Sijui kama hamjaelewa hili. This is a typical terrorism. Nafahamu kuna watu watanibisha, ila JWTZ hawajawahi kuingilia hili suala ila mpaka wameingilia naamini hali ni tete sana ya usalama.

I hope mambo yatakaa sawa hapo TZ maana hatuamini kama hawa ni terrorists ila hakika nawaambieni Kenge ukimfuga huwa anakuwa mamba. Hawa ni terrorists per se!

I submitt my case!
 
Kumbe wanawajua waliomteka kiongozi wao lkn wanawashambulia wakristu,waende makao makuu ya JWT na makao makuu ya jeshi la polisi na makao makuu ya ccm.
Huyo Sh.amir azzan yeye hajakamatwa? anatakiwa akamatwe asaidie polisi huenda ndo wamemficha amir farid ili vurugu ziongezeke zanzibar.Kabla hayo masaa 26 hayajaisha shehe huyo akamatwe aunganishwe na wenzake.yasije yakatokea yaliyotokea miaka ya nyuma watu wakakimbilia mombasa.[/
 
yaani ninyi watu wa ajabu sana naomba mhamie sayari ya mars mkafanye huo uupuzi wenu . nchi inaendeshwa kwa sheria na vyombo vya habari vina sheria zake kama imekiuka safi sana kupigwa ban
 
Mabwana dini haiendeshwi kwa kuchinja watu wasio na hatia!! Tena mmemchinja muislamu mwenzenu ,mswalihina, mzanzibari halisi, ametoka kazini anarudi nyumbani, mmempiga mapanga!! jamani wapi ,kitabu gani kinasema muue mtu asie na hatia? Mmepotoka rudini mkaisome qur-aani vizuri
 
Magaidi lazima wawajibishwe kwa nguvu ya kutosha, hakuna sababu ya kuhofia matokeo ya sasa ya vurugu za muda, wakiachwa hawa tutajilaumu kama wanavyojilaumu nigeria na boko haram pamoja na al shabab kule somalia
 
Mabwana dini haiendeshwi kwa kuchinja watu wasio na hatia!! Tena mmemchinja muislamu mwenzenu ,mswalihina, mzanzibari halisi, ametoka kazini anarudi nyumbani, mmempiga mapanga!! jamani wapi ,kitabu gani kinasema muue mtu asie na hatia? Mmepotoka rudini mkaisome qur-aani vizuri
Hakuna dini isiyochinja watu wanaokengeuka,sheria za dini ni kali sana kuliko unavyofikiria kwani hakuna alieko juu ya sheria,au sheria kupindishwa kwa kuwa tu unajuana na hakimu.
Polisi inapoua hujumlishwa jeshi lote na serikali yake kama ni kulipiza kisasi basi polisi kama polisi inatosha ,au hao walio waislamu waachanane na jeshi hilo,vinginevyo wamo.
 
ndio wahuni kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mnayo yafanya nyie mbuzi haramu uamsho. sijui uamsho wa shetani sielewi.

Yaani huyo askof shao ndo anawaita uamsho wahuni !
Kwanza ajijue yeye baba yake nani
Kuteka nyara watu ndio uungwana ? Kweli mwanaharamu hafichi asili yake

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
tena nabado huo wasi wasi wako uendelee, na huo mchezo utaendelea mpaka waislam msio na akili kama ninyi mshike adabu pumbafu...........

Nope! I stand to differ from your assertions, sio waislamu bali ni kwamba kuna kundi la terrorists ambalo watanzania kwa amani yetu hatuamini kuwa hawa ni terrorists, kumbuka hata ubalozi wa Marekani ulipokuwa bombed tuliamini ni kama ajali kumbe kuna mshenzi kule kimara ndiye alitengeneza hadi bomu lile.

Wanausalama hebu fanyeni kazi katika hili kwani waislamu wametekwa akili yao bila kujijua maana madai yao yalikuwa yanashughulikiwa kulingana na katiba na kanuni zilizowekwa na sisi wenyewe watanzania, na watanzania hatuko hivyo!!

Hivi ni kweli kabisa watu wanakubali kutekwa akili namna hiyo? They are terrorists, yani ingekuwa ulaya wasingewaita the so called hooligans bali wangesema laivu kuwa ni terrorist group na labda kosa letu lilikuwa ni kusajili kundi la UAMSHO lakini naamini waislamu sio terrorists ila kuna makundi fulani yanaamua kutumia mafundisho ya dini kuvuruga utamaduni wa kuheshimiana na kuchukuliana tuliokuwa nao that's why wanakataa hata BAKWATA na wanahakikisha Waislamu hawamsikilizi hata MUFTI, kwa kweli inasikitisha ukiona watu wanatumiwa namna hii.

Mungu wa Taifa hili atujaalie uvumilivu na upendo .

I still stand to be corrected!
 
Kwa nini serikali ya zenj inawastahi hawa!!?? wanaogopa nini kuwachukulia hatua!? hizi chorus za "KUVUMILIANA" na "kufanya maongezi nao" USA waligundua mapema na "they don't negotiate with terrorists"
 
Back
Top Bottom