Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
TAMKO ATOA AMIR AZZAM -MBUYUNI.

Viongozi wa jumuiya Uamsho.sh Amir Azzan ameipa serikali muda wa masaa 26 mpka kesho sa 10 laasir.Amir Farid awe kishaachiwa.
Ila amewataka wananchi wawe na subra na watunze Amani hadi hapo kesho laasir.
Sh Azzan anasema ccm,Jeshi la polisi na Jeshi la wananchi Tanzania wamehusika kwa habari waliozipata.
Inasemekana walomteka walikuwemo ma jeshi 2 na polisi wa ffu 2 na viongozi wa ccm.
Tunaiman Amir Farid bado yuhai na yupo hapa hapa Zanzibar.
Safari hii mpaka kieleweke.
Waislamu hakuna kurudi nyuma biidhni llah tutampata Amir Farid


source ;fb page ya jumuiya ya uamsho(T)


updates;shekh farid apatikana takriban masaa 10 baada ya tamko hili.

farid3.jpg
 

Attachments

  • farid 1.jpg
    farid 1.jpg
    21.9 KB · Views: 87
"Serikali inashindwa kudhibiti kikundi hiki cha Wahuni?" Askofu Martin Shao wa Anglikana Zanzibar kupitia BBC

Kikundi cha kihuni lakini wameshatimiza malengo hapo nani mjanja
 
TAMKO ATOA AMIR AZZAM -MBUYUNI.

Viongozi wa jumuiya Uamsho.sh Amir Azzan ameipa serikali muda wa masaa 26 mpka kesho sa 10 laasir.Amir Farid awe kishaachiwa.
Ila amewataka wananchi wawe na subra na watunze Amani hadi hapo kesho laasir.
Sh Azzan anasema ccm,Jeshi la polisi na Jeshi la wananchi Tanzania wamehusika kwa habari waliozipata.
Inasemekana walomteka walikuwemo ma jeshi 2 na polisi wa ffu 2 na viongozi wa ccm.
Tunaiman Amir Farid bado yuhai na yupo hapa hapa Zanzibar.
Safari hii mpaka kieleweke.
Waislamu hakuna kurudi nyuma biidhni llah tutampata Amir Farid


source ;fb page ya jumuiya ya uamsho(T)
hapo kwenye bold ,naweza kukubali kwani kumekuwepo na tuhuma kadhaa za utekaji zilizohusisha ccm.
 
Hivi kweli hii serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa watu ?

Kwanini huyu anayetoa hili tamko kwamba baada ya masaa 26 wataleta vurugu hajawekwa hatiani ?
Huku kulea ugonjwa kifo kitakuja kutuumbua
 
"Serikali inashindwa kudhibiti kikundi hiki cha Wahuni?" Askofu Martin Shao wa Anglikana Zanzibar kupitia BBC

Sasa huyu Askofu mbona anamwaga Petrol kwenye moto uliowaka...hekima ilikuwa ni kuchagua maneno haswa kipindi hiki kigumu
 
wanajua mwisho wa yote watashindwa hivi vita ndio maana wanapiga kelele.wawaleje jela za bara ndio watafunzwa adabu vizuri.
 
Why 26? Why not 24?

[h=1]Properties of the number 26[/h]
[h=2]Symbolism[/h]
  • According to R. Allendy, "it associates the idea of the cosmic differentiation, 20, with that of providence or the Karma, 6, and with that to the liberation of the nirvana, 2 + 6 = 8". It would represent also the individual initiative in the fight against the sin.
[h=2]Bible[/h]
  • It is the number of generation from David to Christ according to the evangelist Luke and also the number of generations between Moses and Adam. The genealogy of Sem comprises twenty-six descendants.
  • In the Psalms, the God of Israel promises to the nations the iron rods and in chapter XXVI of the Leviticus, an avalanche of curse is pronounced against his people among which "a sky of iron". The atomic number of iron is 26.
[h=2]General[/h]
  • Jesus was 26 years old when died his adoptive father Joseph, according to visions of Mary Agreda.
  • According to the Talmud, the Torah would have been revealed to Israel to the 26th generation of the history of the world, that is to say starting from Adam. It is Moses who, to the 26th generation of the world, receives the Torah transmitted by God.
  • The 26 ganglions of the sympathetic system of the human bodies.
  • The 26 letters of the Latin alphabet.
  • Anniversary of marriage: weddings of opal.
[h=2]Gematria[/h]
  • Numerical value of the name of God in Hebrew formed of the Hebraic letters yod, he, waw and he, YHWH, 10+5+6+5=26. This name of 4 letters giving 26 is found in the 4th chapter of the Genesis with its 26 verses, beginning with Adam and ending by the name of God.
  • By using as correspondence table A=1, B=2, ..., Z=26, we find that the name of God in English, GOD, gives 26.
[h=2]Occurrence[/h]
  • The number 26 is used only once in the Bible.
  • The Gospel of Luke uses on the whole 26 different numbers, which are numbers 1 to 3, 5 to 12, 15, 18, 30, 40, 50, 60, 72, 80, 84, 99, 100, 500, 5000, 10000 and 20000.
  • The number 18 is used 26 times in the Bible.
  • The word "Beloved", representing the Lord, appears 26 times in the Song of Songs. The words prescription and baptism are used 26 times in the Bible. The word "merciful" is used 26 times in the NRSV.
may be it is a code!
 
Nadhan sasa ndio.mtaamini kuwa hakuna atakayewasaidia na kiwapangia mwelekeo wenu zaidi ya adui yenu. Zimwi likujualo halikuli likakwisha.

yetu macho.
 
Sielewi na sijui nitafanyeje ili nielewe. Jeshi la Polisi na CCM ambao wamekuwa too readily kuuwa wananchi kwenyemikutano ya CHADEMA kote nchini wameshindwa kabisa kushughulika na wahalifu wachache. Sielewi mimi.
 
Back
Top Bottom