Ninakusudia Waislamu wa Morogoro!big no....moro imejaa wakristo watupu ndio maana kuna makanisa hadi isipoingia pikipiki.tena miaka na miaka.
e.g matombo,kidodi,tegetero,msongozi
Hayo Makanisa yasikushituwe Waislamu katika miji ya Ulaya kila kukicha wanayabadilisha kuwa misikiti! teh teh teh.
Tukirudi kwenye mada: Wakisusia sensa Wazanzibari, Dar, Tanga na Moro sio mbaya kwa kuanzia sensa ijayo wataongezeka Mtwara, Lindi,Kigoma,Tabora na Singida........suala la sensa kwa njia nyingine ni zuri kwa vile
linawaunganisha Waislamu.