Uamsho na harakati za mombasa republican council....

kilumbi

Member
Oct 9, 2012
24
4
Kila ninapofikiria juu ya Harakati za Mombasa Republican Council kuhusu kujitenga kwao na KENYA ili warudi ZANZIBAR kwa wakati huu, pia nikiangalia harakati za UAMSHO naona kama kuna kitu kibaya kiko mbeleni.

Madai ya MRC na yale ya UAMSHO ni kama yanafanana. Wasiwasi ni kwamba, kama tukiwaangalia UAMSHO kama kikundi cha Wahuni fulani tu Zanzibar huku tukipuuzia kile kinachendelea KENYA, basi iko siku tutajuta.

Soma article hii halafu utaelewa nini ninachokizungumzia.
View attachment Mombasa Republican Council.doc
 
lakini muda wote imekuwa haitaji tafakakari ya kina kutambua kuwa UAMSHO NA MOMBASA REUBLLCAN COUNCIL ni washiriki wa karibu; laiti uswahiba wao ungekuwa na nia njema kwa WANAFRIKA YA MASHARIKI wa leo
 
Back
Top Bottom