Uamsho kushitakiwa Oktoba kwa kosa la Agosti, tunapata sura gani kwa Serikali?

Wiki hii, Sheikh Farid na wenzake wamefikishwa kortini baada ya Sheikh Farid 'kutekwa' na kusababisha vurugu kubwa Zanzibar. Wengi tulitegemea wangeshitakiwa kwa vurugu za wafuasi wao wiki iliyopita.

Tujiulize; kwa nini washitakiwe kwa makosa waliyofanya mwezi Agosti? Serikali ilikuwa wapi wakati Masheikh hao wakivunja sheria Agost? Kwa nini Serikali inafumbia macho uvunjaji wa sheria kwa baadhi ya vikundi na watu, ni kwa maslahi ya nani?
Tabia hii ya kufumbia macho uvunjaji.

Kuna watu walifanya makosa 1970s, 1980s na kushtakiwa even after 10 to 20 years.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom