Umeona palivyo pagumu......hebu relax achana na makorokoro ya criteria n.k..........hivi wewe ni mwaminifu
kama nikiweza funza wanangu, sitakaa niwafunze uaminifu kwa dunia hii ya leo.
Ni mistake ya kufa mtu, ni kujipasua moyo bure, ni ukichaa tu wa mapenzi tu.
Bora waishi maisha real ya kuchitiana.
kama nikiweza funza wanangu, sitakaa niwafunze uaminifu kwa dunia hii ya leo.
Ni mistake ya kufa mtu, ni kujipasua moyo bure, ni ukichaa tu wa mapenzi tu.
Bora waishi maisha real ya kuchitiana.
Kongosho you are very right aisee, yaani na shida ya uaminifu ni moja tu kosa moja dogo sana laweza kuufuta uaminifu wote hata kama uliujenga for yrs.kama nikiweza funza wanangu, sitakaa niwafunze uaminifu kwa dunia hii ya leo.
Ni mistake ya kufa mtu, ni kujipasua moyo bure, ni ukichaa tu wa mapenzi tu.
Bora waishi maisha real ya kuchitiana.
Uaminifu unawezekana kabisa.....ukiamua tu kuwa mwaminifu basi utakuwa mwaminifu
that is so nice Purple but tell us wafanyaje wewe ili kuweza kuwa mwaminifu kwa kweli?
Je, uaminifu ni mtazamo?
Yaani wewe kwa mtazamo wako unaweza kujiona kuwa ni mwaminifu lakini kwa mtazamo wa mwingine ukaonekana si mwaminifu?
Hahahaaaa...the phenomenon of love.
that is so nice Purple but tell us wafanyaje wewe ili kuweza kuwa mwaminifu kwa kweli?
kila kitu ukitazama
ni mtazamo tu
wanaoitwa wahuni,malaya na kadhalika
wenyewe wanajitazama vingine kabisa
Nyani Ngabu ajionavyo mtu moyoni mwake ndivyo alivyo. sawa hili sna shida nalo lakin what happened pale wewe wajiona kuwa mwaminifu wakati siyo? ama waonekana mwaminifu wakati moyoni siyo na je kama ni mwaminifu halafu waonekana siyo?Je, uaminifu ni mtazamo?
Yaani wewe kwa mtazamo wako unaweza kujiona kuwa ni mwaminifu lakini kwa mtazamo wa mwingine ukaonekana si mwaminifu?
Hahahaaaa...the phenomenon of love.
unajua life is how you make it, mimi nilishajiwekea principle toka awali kwamba siwezi kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja at the same time, lakini nilichokuja kugundua kumpata mwaminifu kama mimi ni ndoto za bunuasi..
Kongosho you are very right aisee, yaani na shida ya uaminifu ni moja tu kosa moja dogo sana laweza kuufuta uaminifu wote hata kama uliujenga for yrs.
Nyani Ngabu ajionavyo mtu moyoni mwake ndivyo alivyo. sawa hili sna shida nalo lakin what happened pale wewe wajiona kuwa mwaminifu wakati siyo?