Uaminifu (100%) ktk ndoa inawezekana?

mtu hawezi nidanganya mimi kwamba wanawake ni ''waaminifu'' wakati roya kila siku anajirusha na wake za watu
 
@Kahamba, I believe kuna waaminifu 100%, uaminifu inawezekana iwapo mtu unampenda kweli mwenzio you will never try to hurt her/him, if you dont love her/him then you can cheat on them.Mbona wenzetu weupe asilimia kubwa ni waminifu? why not us?:smile-big: UAMINIFU INAWEZEKANA NA WAPO WAAMINIFU

"Mbona wenzetu weupe asilimia kubwa ni waminifu?":nono:
tupe evidence..
 
Mkuu Roya^2

Wanawake ni wasiri saaaaaaana na ni wavumulivu saaaana, na ndiyo maana mara nyingi inaonekana kwenye ndoa wanaume kwa % ndiyo "wakosaji". Ukichukulia Scenario ya kawaida ya maisha ya ndoa mwanamke wakati wote huwa anakuwa sehemu ambayo ni "trusted zone". Ni nadra sana mwanaume kuwahi kurudi nyumbani kabla ya mke wake. Hata kama kuna tatizo nyumbani kwao au kwa jamaa zao lazima atakushirikisha kwa kiasi kikubwa kuhakikisha kuwa unajenga "trust" ya mahali alipo na anachokifanya!

Nimeshuhudia wanaume wanawapeleka wake zo "sokoni", "saluni", "shopping malls", "darasani", kwenye "misiba" e.t.c. Na baada ya kuwafikisha wanaume out of that "trust" unakuta wanawaambia nitakupitia baadaye kuna sehemu naenda! Mwanaume anawasha gari anatafuta bar ya jirani anapata moja baridi, mbili, tatu, e.t.c
.

Baada ya muda "nipo tayari dear", mwanaume anajibu namalizia bia yangu! Give me 20minutes! The "trust"! ipo kwahiyo 20 minutes can be 30minutes e.t.c. baada ya hapo unampitia kuelekea destination of your choice, si lazima nyumbani. Then life goes on.

Have you ever wondered, kwa nini mwanamke anaishi Kigamboni anaenda Saluni Kinondoni? Anaishi Tegeta anafanya manunuzi ya nyanya na vitunguu Kisutu? Na mara zote wewe mwanamume ndiye unayemsindikiza na kumsubiri? tena wakati mwingine kama yupo mitaa ya Kinondoni saluni anaondoka na gari anakuacha baa ya jirani unapata bia!
Well hebu niishie hapa kwa leo!

Wakatabahu!

Hata mimi hilo suala niliishalifikiria sana
 
Rose1980:

Hawapo... NUKTA

Inawezekana wewe unaongelea nadharia zaidi - Mimi ninaongelea uzoefu my dear - being married for 15+ years na nimebahatika kutembea 80% ya Tanzania anf a couple of countries abroad.

Kwa Dar hapa ninapoishi sasa nime-interact na watu wa aina zote za maisha - Upanga hadi Oysterbay, Kinondoni hadi Temeke, Mikocheni hadi Bunju. Pia maudhurio yangu kwenye sehemu za starehe ni MAZURI sana!

Nimefanya utafiti kuhusu mienendo ya Wana Ndoa na taasisi moja hapa Dar es Salaam na Mwanza mara mbili kwa kutumia "sample" tofauti. Na kila mara watu wote tuliowahoji wanandoa 97% walikubali kuwa at least once walishawahi kutembea nje ya ndoa!
Baba Enock umenichanganya sana leo
kwanza umesema hawapo
Pili umesema ni 97% ndio wanaofanya that means 3% wapo
tatu umesema wanaotembea nje ya ndoa, hivi kuna wanaotembea ndani ya ndoa

MIe natembea sana mikoani na dunia nzima, au kutembea nje mna maana gani?

where is Kamanda MJ1 when you a language guru?
 
sa unakataa nin?
r u roze?
mimi ndo muhusika na nimesema as i sayed
ukikataa we mkaidi

inawezekana kwako.. roya mbona nae unamsemea?
actually hio:nono: nilimaanisha kwa roya, kwa wewe nikiangalia hilo jicho tu najua ni kweli
 
Mkuu Roya^2

Wanawake ni wasiri saaaaaaana na ni wavumulivu saaaana, na ndiyo maana mara nyingi inaonekana kwenye ndoa wanaume kwa % ndiyo "wakosaji". Ukichukulia Scenario ya kawaida ya maisha ya ndoa mwanamke wakati wote huwa anakuwa sehemu ambayo ni "trusted zone". Ni nadra sana mwanaume kuwahi kurudi nyumbani kabla ya mke wake. Hata kama kuna tatizo nyumbani kwao au kwa jamaa zao lazima atakushirikisha kwa kiasi kikubwa kuhakikisha kuwa unajenga "trust" ya mahali alipo na anachokifanya!

Nimeshuhudia wanaume wanawapeleka wake zo "sokoni", "saluni", "shopping malls", "darasani", kwenye "misiba" e.t.c. Na baada ya kuwafikisha wanaume out of that "trust" unakuta wanawaambia nitakupitia baadaye kuna sehemu naenda! Mwanaume anawasha gari anatafuta bar ya jirani anapata moja baridi, mbili, tatu, e.t.c
.

Baada ya muda "nipo tayari dear", mwanaume anajibu namalizia bia yangu! Give me 20minutes! The "trust"! ipo kwahiyo 20 minutes can be 30minutes e.t.c. baada ya hapo unampitia kuelekea destination of your choice, si lazima nyumbani. Then life goes on.

Have you ever wondered, kwa nini mwanamke anaishi Kigamboni anaenda Saluni Kinondoni? Anaishi Tegeta anafanya manunuzi ya nyanya na vitunguu Kisutu? Na mara zote wewe mwanamume ndiye unayemsindikiza na kumsubiri? tena wakati mwingine kama yupo mitaa ya Kinondoni saluni anaondoka na gari anakuacha baa ya jirani unapata bia!

Well hebu niishie hapa kwa leo!

Wakatabahu!

haya wee...
 
Baba Gift umenichanganya sana leo
kwanza umesema hawapo
Pili umesema ni 97% ndio wanaofanya that means 3% wapo
tatu umesema wanaotembea nje ya ndoa, hivi kuna wanaotembea ndani ya ndoa

MIe natembea sana mikoani na dunia nzima, au kutembea nje mna maana gani?

where is Kamanda MJ1 when you a language guru?
you have been warned!....
 
USENGWILEEEEE.....usengwleeeeeeeeee bambo
ni kweli kasema asilimia 97 so kuna 3 zmebak wapo
sasa conclsiom yake ya ..HAKUNA WAAMINIFU sjui inakujaje????
 
Mkuu Roya^2

Wanawake ni wasiri saaaaaaana na ni wavumulivu saaaana, na ndiyo maana mara nyingi inaonekana kwenye ndoa wanaume kwa % ndiyo "wakosaji". Ukichukulia Scenario ya kawaida ya maisha ya ndoa mwanamke wakati wote huwa anakuwa sehemu ambayo ni "trusted zone". Ni nadra sana mwanaume kuwahi kurudi nyumbani kabla ya mke wake. Hata kama kuna tatizo nyumbani kwao au kwa jamaa zao lazima atakushirikisha kwa kiasi kikubwa kuhakikisha kuwa unajenga "trust" ya mahali alipo na anachokifanya!

Nimeshuhudia wanaume wanawapeleka wake zo "sokoni", "saluni", "shopping malls", "darasani", kwenye "misiba" e.t.c. Na baada ya kuwafikisha wanaume out of that "trust" unakuta wanawaambia nitakupitia baadaye kuna sehemu naenda! Mwanaume anawasha gari anatafuta bar ya jirani anapata moja baridi, mbili, tatu, e.t.c
.

Baada ya muda "nipo tayari dear", mwanaume anajibu namalizia bia yangu! Give me 20minutes! The "trust"! ipo kwahiyo 20 minutes can be 30minutes e.t.c. baada ya hapo unampitia kuelekea destination of your choice, si lazima nyumbani. Then life goes on.

Have you ever wondered, kwa nini mwanamke anaishi Kigamboni anaenda Saluni Kinondoni? Anaishi Tegeta anafanya manunuzi ya nyanya na vitunguu Kisutu? Na mara zote wewe mwanamume ndiye unayemsindikiza na kumsubiri? tena wakati mwingine kama yupo mitaa ya Kinondoni saluni anaondoka na gari anakuacha baa ya jirani unapata bia!

Well hebu niishie hapa kwa leo!

Wakatabahu!

The Following 2 Users Say Thank You to Baba_Enock For This Useful Post:

inawezekana kwako.. roya mbona nae unamsemea?
actually hio:nono: nilimaanisha kwa roya, kwa wewe nikiangalia hilo jicho tu najua ni kweli

hahaaaaaaaaaaa hhaaaaa ukiangalia jicho tu hahahha hahah umenchekesha aya bwana
km unaaminivo mi sina pingamizi swt at lakin jicho langu bovu jaman ..si mbwembwe...ni matatizo...
roy namjibia kwasababu ubavu wake ndo niliumbwa mimi!!!!
upo?
ntafutie dawa ya jicho bas.......:yield::yield::yield::yield:
 
Mkuu Roya^2

Wanawake ni wasiri saaaaaaana na ni wavumulivu saaaana, na ndiyo maana mara nyingi inaonekana kwenye ndoa wanaume kwa % ndiyo "wakosaji". Ukichukulia Scenario ya kawaida ya maisha ya ndoa mwanamke wakati wote huwa anakuwa sehemu ambayo ni "trusted zone". Ni nadra sana mwanaume kuwahi kurudi nyumbani kabla ya mke wake. Hata kama kuna tatizo nyumbani kwao au kwa jamaa zao lazima atakushirikisha kwa kiasi kikubwa kuhakikisha kuwa unajenga "trust" ya mahali alipo na anachokifanya!

Nimeshuhudia wanaume wanawapeleka wake zo "sokoni", "saluni", "shopping malls", "darasani", kwenye "misiba" e.t.c. Na baada ya kuwafikisha wanaume out of that "trust" unakuta wanawaambia nitakupitia baadaye kuna sehemu naenda! Mwanaume anawasha gari anatafuta bar ya jirani anapata moja baridi, mbili, tatu, e.t.c
.

Baada ya muda "nipo tayari dear", mwanaume anajibu namalizia bia yangu! Give me 20minutes! The "trust"! ipo kwahiyo 20 minutes can be 30minutes e.t.c. baada ya hapo unampitia kuelekea destination of your choice, si lazima nyumbani. Then life goes on.

Have you ever wondered, kwa nini mwanamke anaishi Kigamboni anaenda Saluni Kinondoni? Anaishi Tegeta anafanya manunuzi ya nyanya na vitunguu Kisutu? Na mara zote wewe mwanamume ndiye unayemsindikiza na kumsubiri? tena wakati mwingine kama yupo mitaa ya Kinondoni saluni anaondoka na gari anakuacha baa ya jirani unapata bia!

Well hebu niishie hapa kwa leo!

Wakatabahu!
copy!....
 
@Samora10, nina ndugu kaolewa na mweupe na until now wameishi miaka 45, na anakwambia kwa muda wote hajawai kutoka nje zaidi ya mkewe tu! so its possible, UAMINIFU IKUANZIE WEWE:smile:
 
Back
Top Bottom